CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
acheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
Kwa nini Nape akaiteka nyara na wewe hujadai fidia?
acheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
acheni kumwonea nape hoja ya kuwa dr slaa anamiliki kadi ya ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi makupa
Nape hana hoja za kijinga tu bali za kipumbavuuu. Mbona yeye ana kadi ya chama chake cha jamii na hakuna anayemgusa? Kweli nyani haoni kundule na wanaomuunga mkono nadhani ni wale wale wenye mawazo mgando kama yeye.
acheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
Ritz nikisoma post zako huwa nacheka sana. Maanake wewe huwa unadhani watu ni wajinga mno! Hivi unadhani hatuwezi kufikiri? Tumesoma na tukaelimika!Ni kweli Makupa, huyu wakili anatakiwa akutafute wewe uliofichua hii kitu sio Nape...huyu wakili ndio mjinga anataka kupingana na ukweli.
Kadi ni mali ya chama na ndio sababu chama husika kinaweza kukulazimisha urejeshe kadi yao!
kinaweza kwa sheria ipi?
acha upotoshaji!
Who is more foolish, a child afraid of the dark or the man afraid of the light?
Ukiona watu wanahangaika na mambo madogo madogo wanaacha makubwa ujue wana tatizo kubwa zaidi ya ujinga. Nape hayupo sawasawa kichwani. Kwa cheo alicho nacho ndani ya chama tawala hakustahili hata kufikiria kuongelea hoja za kipumbavu kiasi hicho achilia mbali kwenda kusimama mbele ya watu na kuzitamka. Unapokuwa na watu wa mawazo na reasoning kama hii ya Nape halafu ndiyo watu waliokabidhiwa kuongoza nchi inakatisha tamaa kabisa.
Mimi nina kadi mbili za CCM, zote nilipewa wakati nikitumikia JKT, bila ya hiari yangu. Kule jeshini walikuwa wanakata hela yako ya posho kisha wanakupa kadi ya CCM. Walikata pesa yangu nikiwa JKT Masange, nilipoenda Buhemba wakakata hela yangu tena kwa mara ya pili. Wakati nikiwa nimepewa kule Buhemba nikaletewa na nyingine kutoka Masange. Kwa sababu kwangu makaratasi hayo hayakuwa chochote zaidi ya kuwa njia ya kuiba hela yangu, sikuwa kulipia hata mwaka mmoja. Ninayo kama kumbukumbu ya udhalimu. Je, CCM mnaniona kuwa ni mwanachama wenu kwa sababu ya yale magamba niliyopewa?
Hujui hata katiba ya chama chako. Ebu lete kifungu cha katiba yenu kinachosemqa Kadi ni mali ya chama.
Hata wewe Unayepoteza muda wako Kujadili upumbavu huu ni mpumbavu kama mimi Ninayekujibu.Hoja za kipambavu hazijibiwi labda tu kama unataka kunihabarisha kuwa Slaa naye ni mpumbavu kwa kujikita kwenye hoja za kipambavu