Wakili Kibatala na McKenzie wa Kenya, Wakili Jebra na msagaji wa Geita

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Ndugu Mawakili mnisamehe, Mh Peter kibatala nakupenda wewe pamoja na familia Yako, hii kauli najua ndugu Peter Kibatala,inaweza kukuuuzi ila ndo ukweli kutoka moyoni mwangu!

Katika mitandao Leo Kuna picha ya mchungaji Makenzi aliye wambia waumini wafunge wafe Ili wakakutane na Mtoto wa Mwenyejiz Mungu,Yaani Yessu Kristo.

Picha hii Kwa juu inaonesha yakuwa mchungaji kapandishwa kizimbani na wanasheria wake wakiwa mahakamani wameomba kwanza mteja wao apewe dhamana. Maana makosa yake ni yakufikirika sana na inaonekana anasingiziwa maana Wana uhakika walio kufa wote na kuzikwa hakika wamekutana na Yesu uko mbinguni.

Wameenda mbele zaidi na kudai yakuwa kama hawataki kumpa dhamana basi wadhibitishe yakuwa walio kufa ambao ni waumini wake wadhibitishe kama waliokufa kweli na kuzikwa hawajakutana na Yessu uko mbinguni.

Nikifikiria jinsi Mh Peter kibatala alivyokuwa anawavuruga na kuwatapanya wale mashahidi dhidi ya kesi ya Mbowe na wenzake nashawishika kuamini yakuwa Mh Peter anaongoza jopo la mawakili uko kenya maana mawakili wa namna hii uwezi walinganisha na hao mawakili wanao feli pale school of law!

Hawa mawakili wanaongozwa na peter kibatala? Ona picha hapo chini.

Sina wasi wasi na uwakili wa Jebra,ila kitendo Cha mawakili kutetea watu WA namna ya Milembe sijui nae ni hayati Sasa mm sijui kabisa kilinitia shaka sana MAana sisi Wana Kanda ya ziwa mara Kwa mara yule mama tulikuwa na hakika yakuwa alikuwa akijiusisha na mapenzi ya jinsia moja na kipindi kile alikuwa kweli anamkata kazi yule mdogo wake na naibu Waziri wa habari Juliana Shonza.

Kwa kweli yule mama analikuwa anakula vitu vitamu sana sana ambavyo hata sisi wanaume tulizalaulika sijui Ile kesi iliishia wapi,Jebra anaweza tuelezea ila pale alitetea mharifu mwenye ushahidi kabisa.

Je wanasheria hivi uko Kwa Mungu Baba mna kambingu kenu maana mengine kuyatetea Mimi Huwa sielewi Kwa Nini mnafanya hivi?

Naomba sana Kaka peter popote ulipo,wewe Jebra jitokezeni kumtetea Siripiani Musiba kabla ya kesho maana Mimi nmepewa tenda yaani kijibarua na taasisi iliyokabidhiwa ufilisi mi kazi yangu ni kuwa mzalendo huru kumtetea msiba yaani kumpuliza wakati anakatwa kazi hasisikie maumivu

Wapi yonooooooo!
20230427_154021.jpg
 
Wakati mwingine unatakiwa kukumbuka ya kwamba hao wanasheria wako kazini. Hiyo ndiyo ajira yao.

Yaani ni sawa na kusema madaktari wasiokoe maisha ya watu ambao wamejaribu kujiua baada ya kuua watu wengine!
Heheheh...mtuhumiwa kataka kujitoa uhai gerezani...serikali inamgharamia matibabu mpaka apone ili arudi mahakamani akapewe adhabu ya kunyongwa!.😂😂😂
 
Punguza hisia kiasi Mkuu alafu uwaze upya mtazamo wako. Kupata uwakilishi Mahakamani ni haki ya msingi na kikatiba kabisa Ibara ya 13 ya Katiba imeweka hayo sawa.

Tunatetea, hatuungi mkono
 
Back
Top Bottom