Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,227
- 27,065
Kwa hio robert kidando ndio ana uwezo mkubwa [emoji1787][emoji1787]Uwezo wake mdogo sana, yeye vikesi vya akina mdude ndio saizi yake
Kwa hio robert kidando ndio ana uwezo mkubwa [emoji1787][emoji1787]Uwezo wake mdogo sana, yeye vikesi vya akina mdude ndio saizi yake
FISIEMU watatumia kila njia kuhakikisha pale wanaweka mtu mwenye kadi ya chama chao!!Jamaa upstairs ni smart na ukijumlisha na umaarufu wa ile KESI anaweza akapata.
Kama ni CHADEMA, itakuwa ni baraka kubwa kwa TLS. Itakuwa ni laana kwa TLS kama Rais wake atakuwa ni CCM.Huyo Chadema, atapelek a ujinga mwingi TLS
Huyu alimuuliza maswali mahita mpka akaomba kwenda kupupuWaungwana Salam,
Wakili Msomi Jeremiah Mtobesya aliyekuwa miongoni mwa jopo la mawakili wa utetezi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni miongoni mwa waliopendekezwa kuwania nafasi ya Urais wa Chama Cha wanasheria wa Tanganyika (TLS).
Mpaka sasa wagombea waliopendekezwa ni watatu wengine ni wakili msomi Profesa Edward Hossea ambaye pia ni Rais wa Sasa wa TLS na wakili msomi Harold Sungusia.
Zoezi la upendekezaji wa Wagombea Bado linaendelea na wanatakiwa kupendekeza jina la mgombea katika hatua hii ni Mawakili na Wagombea wanaruhusiwa pia kujipendekeza.
View attachment 2168391