Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 872
Ukuta wa china ulijengwa maelfu ya miaka iliyopita.ukuta hauwezi zuia wizi karne hii ambayo kuna drones zenye uwezo wa kubeba hadi mzigo wa kilo tano.
Utapungua kwa asilimia ndogo sana.SAWA KASUKU HANA UWEZO WA KUKAMATA MWIZI LAKINI MTU ANAMFUGA NA KUMUWEKA SEHEMU AMBAYO MGENI AKIINGIA KASUKU ATAPIGA KELELE NA ITAKUWA NI ISHARA KWA MWENYE NYUMBA.UKUTA SIO LAZIMA UZUIE WIZI KWA ASILIMIA 100 ISIPOKUWA ANGALAU KWA KIWANGO FULANI WIZI ATAPUNGUA !!
Kumbuka haya mmayoyafanya ni matokeo ya kule kushangilia kwenu na hakika haya simnayashangilia mda kidogo mtasema ni chadema walisababisha mkajenga huo ukuuta bac sawaHivi Huyu wakili wa Chadema toka aanze kazi ya uwakili ameshinda kesi ngapi?
Kumbuka haya mmayoyafanya ni matokeo ya kule kushangilia kwenu na hakika haya simnayashangilia mda kidogo mtasema ni chadema walisababisha mkajenga huo ukuuta bac sawa
Sijui huo ukuta una mita ngapi kwenda chini kuzuia wachimbaji kupitishe madini chini kwa chini! Akili za kitoto sanaKama kupambana na wizi Wa rasilimali ni kuzungusha ukuta! Nadhani wamshauri azungushe nchi nzima tu
View attachment 737244
Ngoja nikuwekee kabisa majina ya hao wanasheria wako ambao walikuangushaWanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?
Kama china walijenga ukuta why not us?
lolAzungushe na ukuta kuzunguka bahari, tunaibiwa sawa samaki zetu... haahahhaha akili ni nywele
Sio wanasheria wamebobea sheria zaadiniWanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?
Kama china walijenga ukuta why not us?
Ahaa...kumbe ukuta ndio mbadala wa sheria?Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?
Kama china walijenga ukuta why not us?
Hivi Yule waziri aliyesaini mikataba ya madini hotelini kule Landani yuko wapi siku hizi?Wanasheria wetu walituangusha sana kwenye mikataba ya madini...huyu ni mwanasheria ambaye siutambui mchango wake kwenye sekta ya madini halafu anabeza UKUTA?
Kama china walijenga ukuta why not us?
Kujenga ukuta ni one thing, kuzuia Tanzanite isiendelee kuibwa, I mean kuhakikisha muuzaji mkuu anakuwa TZ badala ya India (first) na Kenya (second) is quite another....Ukuta umekwisha jengwa, Mengine ni mazungumzo baada ya habari.
Hivi Huyu wakili wa Chadema toka aanze kazi ya uwakili ameshinda kesi ngapi?
Yuko pale bandarini na ni mmiliki wa TICTS na majuzi kwenye kikao cha rais na wafanyabiashara wameomba waongezewe eneo pale bandarini na nadhani wameshapewa tayari.Hivi Yule waziri aliyesaini mikataba ya madini hotelini kule Landani yuko wapi siku hizi?
Nimesikia ukuta una more than 25km length... Each km itakuwa inalindwa in and out? Nini kitazuia kuchimba tunnel ikiwa machimbo yenyewe ni full of tunnels?nadhani anamaanisha kuwe na geti moja tuu ambalo litakuwa rasmi kwa madini kupitia katika utokaji wake,japo hapa atakuwa amedhibiti madini kuto kutoka kihalali ila sio mikataba na nk
Aisee kwa hiyo mpendwa wetu cheupee dawaaa mwakani mnampiga nyingine tena? Atapata kweli muda wa kulinda mawe yetuu?Maumivu inayokupa CCM ni kama yale ya labour...yaani baada ya kujifungua unafurahi...na mwakani unapata mimba tena.
Nilipokuwa Mererani juzi, hiki ndicho nilichosikia wengi wakikisema... Hasa wachimbajiWizi wa madini hauwezi kuzuiliwa kwa ukuta. Ule ukuta unarukika na rushwa itaongezeka tu na madini yatapita. Isitoshe, njia zilizoko huko mashimoni zimeenda mbali sana kuuvuka huo ukuta kwahiyo tanzanite itatoka tu. Mihemuko ya kisiasa ndo imesababisha ukuta ujengwe.
See? Hiki ndicho wanachokijua Lumumba, kulindana kwenye kuhujumu halafu furushi la lawama wanawatupia wapinzani....Yuko pale bandarini na ni mmiliki wa TICTS na majuzi kwenye kikao cha rais na wafanyabiashara wameomba waongezewe eneo pale bandarini na nadhani wameshapewa tayari.
Hahahahahahaha HahahahahahahaMke wangu tayari mafundi wanafanya upembuzi yakinifu. Soon namzungushia ukuta