Huyu ni objective! Huyu aliyefunga tai vibaya ni CCM, ana arguments za kitot na mifano ya kitoto. Mambo ya msingi wanyumba na fundi hayaendeni namijadala ya katiba!
Kati ya Mawakili mahiri nchini ni Wakili Francis Stollah. Huyu Wakili anajua sana kujenga hoja na kutoa ufafanuzi fasaha kwa jambo linahusu masuala ya sheria. Namshauri Mhe. Rais amteue kuwa Jaji katika Mahakama Kuu ya Tanzania na hapo mwanga wake utakapowaka na mengineyo yatafuata. HONGERA SANA ADVOCATE FRANCIS STOLLAH.
kwa upande wangu, francis stollah ni wakili mzuri, na hatua ya yeye kuchaguliwa na wanasheria wasomi kuwa kiongozi wa TLS inathibitisha, hivyo basi tuache wivu.
kwa upande wangu, francis stollah ni wakili mzuri, na hatua ya yeye kuchaguliwa na wanasheria wasomi kuwa kiongozi wa TLS inathibitisha, hivyo basi tuache wivu.