2070
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 451
- 483
Wakili Fatma Karume amesema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI.
Huku akienda mbali kwa kusema atashiriki uchaguzi mkuu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura
Vile vile ameonya kuwa ni kosa la jinai kuzuia uchaguzi
Akijibu maswali mbalimbali katika mtandao wa X