Makamanda siku zote wanakuwa watiifu na wenye nidhamu ya hali ya juu. Sasa nashangaa hawa Makamanda wa CHADEMA sijui wa aina gani. Au ni makamanda wa aina ya Al Shabaab na ISISTafsiri ya ukamanda inapotoshwa na Chadema, ukamanda sio kuvunja sheria na kutoa lugha za matusi.
Mtoa uzi anahitaji tujadili kile kinachoendelea juu ya kesi ya Lema na si kumjadili LemaTafsiri ya ukamanda inapotoshwa na Chadema, ukamanda sio kuvunja sheria na kutoa lugha za matusi.
CHADEMA angalieni hapo kijana wa ACT anaomba kazi ya kumsimamia Lema... Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. ..
How is it possible to separate the two?Mtoa uzi anahitaji tujadili kile kinachoendelea juu ya kesi ya Lema na si kumjadili Lema
Hiyo lugha ulioandika nimeshindwa kuielewa labda ungeandika lugha ninayoelewaHow is it possible to separate the two?
Wakili ebu tufafanulie dhamana huwa inatolewa VP na ni makosa gani ambayo yanamnyima mshtakiwa dhamana pia kuhusu kesi ya Lema je dhamana si haki yake ebu tueleweshe bila kutafuna maneno ili tuelewe*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*
Suala la Lema ni la kisheria. Tuache kupotosha na kujivika huzuni za kinafiki.
Kwa mnaosema labda Lema anaonewa ni vyema mkaelewa issues za kisheria involved. Kilichotokea ni Mahakama kuamua on technicalities. Any good lawyer knows this.
System yetu ya sheria ni adversarial. Winner takes all. Mahakama siyo chombo cha sympathy. Mwenzako akikuwahi amekuwahi.
Kwa upande mwingine hebu tujadili 'noble cause' ya Lema ambayo anaipigania kwa kuangalia kesi gani zinamkabili. Je anashtakiwa kwa makosa gani? Tukiyajua na kuyaelewa tutakuwa katika nafasi nzuri ya kuhuzunika au kushauri.
Naamini huu ni wakati wa Lema kuangalia upya strategy zake za kutafuta haki. Naamini wabunge wengine wa CDM na viongozi wao wanatafuta haki pia. Je mbona wao hawako ndani au hawajanyimwa dhamana? Je kuna mahali Lema anakosea? Au wengine ndio wanakosea?
Tujadili kwa mapana kumsaidia Lema na kumtia moyo. Sio kishabiki. We must remain objective.
My take issue ya Lema inahitaji busara zaidi ya ubishi na ujuaji.
Hebu tutajie hivyo vipengele vya sheria tafadhali.Hakuna busara kwenye kudai haki ambazo zipo kisheria....
Wanasaikolojia pia wampe ushauri 'mtakatifu'.Hakuna busara kwenye kudai haki ambazo zipo kisheria....Msando ampe ushauri wa kuwa objective na kutumia busara Mtukufu Rais, ambaye hana busara na siyo objective (he is tooo emotional)...
ata kama huna imani huo ndo ukweliSina imani na Albert Msando
*Ameandika Mwanasheria Msomi Alberto Msando.......*