Wakili Albert Msando amepotosha umma kwa kudai CAG hana kinga ya kutohojiwa na Kamati ya Bunge

Kwenda huko hujui lolote wewe..wee na Msando ni sawa tu wachumia tumbo wa Lumumba.
Kusema Bunge ni DHAIFU amevunja sheria gani?
Watanzania wote wanajua Bunge ni DHAIFU..hilo haliwezi kubadilika kwa kumuita CAG


 
Mfano CAG asipoenda?
-Atakamatwa kwa pingu!

Mfano CAG akienda na akagoma kuongea chochote mbele ya kamati?
-................????????

Nisaidie hapo!
 
Sijui kama umemkokosoa mleta mada au umemuunga mkono!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia na Ndugai nae kwa taaluma ni mwanasheria, ni kweli? Kama ndiyo inakuwaje hawasemi lugha moja? Au ni njaa?
 
Hakika alhaj Assad ni Mungu pekee anayempigamia!
 
Kiongozi, kama wewe ni wakili basi uwakili wako una mashaka au walakini. Hii ndo submission yako?
Nilifikiri kuwa ungekuwa umesoma vizuri kuhusu vifungu vya katiba na kutuambia kuhusu spika anatumia kifungu kipi cha sheria za bunge na ibara za katiba, then uje kwenye kinga ya CAG katika katiba hyo hyo na kuzionyesha hapa na ikiwezekn hata international laws kama zipo.
Kwa ulichokiandika hapa ni kuwa unaleta ushabiki kwa mgongo wa sheria kuliko uhalisia. Please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano CAG asipoenda?
-Atakamatwa kwa pingu!

Mfano CAG akienda na akagoma kuongea chochote mbele ya kamati?
-................????????

Nisaidie hapo!
CAG asipoenda ni Bunge kutoa maazimio kwa mwajiri wake ambaye ni Serikali. Shida yenu mnachukulia bunge kwa kuangalia akina Ndugai, kibajaji nk amuangalii bunge kwa nguvu zake kama wataamua kuzitumia. Kama Bunge lina nguvu ya kumn'goa PM na Rais huyo Asad ni nani mbele ya Bunge?

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Kwa hiyo bunge likiamua linamuondoa yeyote yule?Natamani CDF aseme bunge ni dhaifu!
 
Bunge haliwezi kumng'oa CAG...Katiba imeeleza namna bunge linavyoweza kumng'oa Rais,katiba hiyohiyo imeeleza namna bunge linavyoweza kumng'oa PM na utaratibu upo clear..kama bunge linaweza kumng'oa CAG eleza hapa ni kifungu gani cha katiba kimetoa mamlaka na utaratibu wa bunge kumng'oa CAG kama ilivyo kwa rais na Pm
 
Maelezo meeeengi ndani ulaghai mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo -Right guy alichokisimulia anakijua mwenyewe ! Tuna tatizo kubwa sana la kiuweledi katika uchambuzi wa mambo usioacha maswali ! Mimi ningeona hiyo clip ya video ikimwonesha CAG yupo anakula good time huko ufukweni cocobeach na marafiki zake huku akitumia cheo chake kuudhalilisha mhimili wa Bunge kwa nia ovu then ningekuwa sehemu ya kumlaani kwa kitendo hicho kisicho cha kizalendo !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusems tu.binge ni dhaifu katika professionalism haina maana ya.kulidharau bunge. Ni tafsiri ya jinsi linavyotekeleza wajibu wake katika kuisimamia serikali na matumizi ya umma
 
CAG hajaitwa kuhojiwa kwa sababu ya ukaguzi alioufanya, bali ni kutokana na maoni yake binafsi kama mtu mwingine yeyote yule, aliyoyatoa, tena kiwa akiwa nje ya Nchi. Yaani ni sawa tu na mimi niseme kuwa Bunge ni dhaifu halafu niitwe kuhojiwa. Aliyeitwa kuhojiwa actually siyo CAG ila ni raia wa Tanzania ambaye kwa coincidence imetokea kuwa ana cheo hicho, ila angeweza hata akawa Mkuu wa Mkoa Aggrey Mwanri, au mtu mwingine yeyote yule, provided ametamka matamshi hayo, au hata babu yangu aliyeko kijijini Sangang'walugesha huko Shinyanga!
 
Msando yuko smart sana jamaa ameama ajafata shida ya tumbo lake ila ni ulinz wa mali na familia yake kitu ambacho atakua amepima kutoka mbali kwa uwekezaji wake alivuounga hela ameanza kutafuta yeye kwa jasho so ameona apoteze kila kitu nimemsamehe kwa ilo hata haya anajua nn anafanya ila ndo kaz aliyooangiwa na chama la sivyo atapata tabu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeeleza vyema


Hata mimi najua spika ndugai hakumwita CAG, ila amemwita mtu anayeitwa Assad kwa kulidhalilisha bunge

Huyu Assad ameitwa kama alivyoitwa ndugu yetu Pascal Mayalla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenda huko hujui lolote wewe..wee na Msando ni sawa tu wachumia tumbo wa Lumumba.
Kusema Bunge ni DHAIFU amevunja sheria gani?
Watanzania wote wanajua Bunge ni DHAIFU..hilo haliwezi kubadilika kwa kumuita CAG
Kanuni za Bunge; nyongeza ya nane kanuni ya 4(1) itokanayo na kanuni ya 118 ya kanuni za Bunge toleo la mwaka 2016; inampa uwezo Spika kupeleka jambo lolote katika hiyo kamati ambapo jambo Hilo litafanyiwa uchunguzi na kamati na mapendekezo yake kupelekwa kwa Spika kwa hatua zaidi.

Mhusika akienda katika kamati itakuwa ni vyema zaidi kwani matokeo ya kamati yatakuwa yamekamilika kwa kumpa CAG haki ya kusikilizwa kabla ya findings za kamati kumfikia Spika.
 
Kanuni za Bunge na Katiba..which one is Supremacy??
Obvious ni Katiba..
CAG ana kinga Kikatiba..msikilize Wakili Jebra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…