MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 9,549
- 24,158
Kwenda huko hujui lolote wewe..wee na Msando ni sawa tu wachumia tumbo wa Lumumba.
Kusema Bunge ni DHAIFU amevunja sheria gani?
Watanzania wote wanajua Bunge ni DHAIFU..hilo haliwezi kubadilika kwa kumuita CAG
Kusema Bunge ni DHAIFU amevunja sheria gani?
Watanzania wote wanajua Bunge ni DHAIFU..hilo haliwezi kubadilika kwa kumuita CAG
Majukumu ya CAG yanapatikana katika Ibara ya 143 (2) (3) , (4) ya katiba, pia kifungu cha 11 na 12 cha Public Audit Act, 2008 ;
Kutoa maoni ya Taasisi anazofanya nazo kazi sio sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwani majukumu yake ya msingi yamekwisha ainishwa hapo juu ambapo kitendo hicho hakifanyi sehemu ya majukumu hayo.
Kwa ujumla wake tungependa kuiona comment yake wazi wazi katika ripoti zake na sio katika vyombo vya habari vya nje.