Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu

Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu

Mkuu hao fastjet wanao usumbufu, na mm waliwahi katisha safari yangu kwa saa kadhaa, ila tulikuwa tunasafr na mkubwa mmja, nkashangaa safari ikawepo..,

Ila kwa huduma wanajitahidi, kwa maana ya mashirika ya ndege ya ndani.

Hyo wakili akishinda kesi hyo nami ntafungua yangu.
Ila ni vema pia akajua nani yupo yuma ya hao jamaa.. C unajua nchi yetu ilivo? Anaweza kukutana na kona kariiiii!
 
kwa sababu ni wakili ndio kaifungua kesi basi nategemea kuona mwisho mzuri ila mtu baki kama mimi kapuku matumaini ni 40% :A S cry:
 
Hao fastjet at least wamepata mbabe wapelekwe mahakamani wanaona raha kukata ticket mara mbili I hate that company with passion..
 
Mkuu hao fastjet wanao usumbufu, na mm waliwahi katisha safari yangu kwa saa kadhaa, ila tulikuwa tunasafr na mkubwa mmja, nkashangaa safari ikawepo..,

Ila kwa huduma wanajitahidi, kwa maana ya mashirika ya ndege ya ndani.

Hyo wakili akishinda kesi hyo nami ntafungua yangu.
Ila ni vema pia akajua nani yupo yuma ya hao jamaa.. C unajua nchi yetu ilivo? Anaweza kukutana na kona kariiiii!

kona kalii halafu mteremko mkali kisha bonde
 
Jamaa kanifurahisha Sana. Watanzania tumeanza kuamka maana poor services tunaona Ni halali yetu.

Tena utakuta with poor service mtu anakuambia usiwe na wasiwasi "nitakusaidia" ebo! Unanisaidia huduma ninayolipia? Tigo will be next to this fiasco
 
Wakuu tupende kusoma Terms and Conditions za kila kitu tunachonunua.. huyu jamaa hana case unless otherwise jamaa tu waamue kumlipa ku-avoid bad publicity.., vile vile hakuna judge atakayemu-award hizo pesa sababu hii ita-open a can of worms na kampuni nyingi zitapelekwa mahakamani mpaka kufilisika..

Naomba tuangalie terms zao kuhusu cancellation.., hizi zinapatikana kwenye site yao..

10.2 Cancellation, Rerouting, Delays etc


10.2.1 We will take all necessary measures to avoid delay in carrying you and your baggage. In the exercise of these measures and in order to prevent a flight cancellation.


10.2.2 Except as otherwise provided by the Convention, if we cancel a flight, fail to operate a flight reasonably according to the schedule or, fail to stop at your destination, we shall, at your option, either:


10.2.2.1 carry you at the earliest opportunity or where necessary, extend the validity of your Ticket; or


10.2.2.2 make a refund in accordance with the provisions of Article 11.2.


10.2.3 Upon the occurrence of any of the events set out in Article 10.2.2, except as otherwise provided by the Convention, the options outlined in Article 10.2.2.1 through 10.2.2.2 are the sole and exclusive remedies available to you and we shall have no further liability to you.


10.2.4 In the event of cancellation fastjet will not compensate you further than a full refund. This refund can be claimed by writing to the address given at the end of this Conditions of Carriage.


10.2.5 If your flight is cancelled other than as a result of Extraordinary Circumstances which could not have been avoided even if all reasonable steps had been taken, you will not be entitled to compensation other than the right to cancel the flight and claim a refund or rebook an alternative date without additional fees.


10.2.6 Fastjet flies without any affiliation to other airlines. Therefore, fastjet cannot accept responsibility for missed onward connections as a result of any delays to scheduled departure times on either another fastjet flight or on a unaffiliated airline.

Kwahio mkuu I can safely say that huyu jamaa kupata hizo pesa labda tu fastjet waogope bad publicity kitu ambacho hawewezi kufanya sababu mamilioni ya watu watajumuika mahakamani kujivunia pesa..
 
Natamani sana nikutane na huyo wakili, nna kesi nyingi za kumpa. Tanzania tunasumbuliwa kijinga sana.

Kuna siku nimeenda BRELA nikaambiwa rudi baada ya masaa mawili, kwenda baada ya masaa mawili sikumkuta huyo afisa aliyeniambia nirudi baada ya masaa mawili. Nikakaa saa nzima kumngoja hajatokea, ikabidi niondoke na nirudi tena siku inayofatia, nikamkuta, nikamueleza alichonifanyia jana. Bila hata remorse au samahani akanambia njoo kesho. Can you imagine? Nami sikukubali nikaenda kwa maboss nikawaeleza. Wakanitatulia tatizo langu in 2 minutes. Hebu fikiri, kazi ya dakika 2 imenichukuwa siku mbili, ni gharama ngapi ameniingiza yule kijana.

Tafadhali nijulisheni huyu lawyer nimtafute.
Huyo alitaka roho yako tu hamna kingine na ukawa umeng'amua mapema.
 
Wanakoelekea fastjet wasipobadili Customer care management yao wajiandae kuisha na kuchokwa kabisa!!!!!!!!!!
 
Hivi Nauli yake ni 32,000/= ??????? pambafu zao

 
Kiongozi ni kweli kabisa! Yaani kuna sehemu nyingi sana watanzania tungeweza kuwashikisha adabu hawa wenye makampuni. Kwa mfano mitandao yote ya simu, ATMs n.k.

Hapo kwenye mitandao ya simu umenena asee,,yan ni wapuuzi kweli yan km airtel wana tabia ya kukuunganisha na huduma zao bila ridhaa af wanakukata hela
 
BRELA NI WATU WEMA SANA, wewe utakuwa ulileta UCCM na udini

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Japokuwa dada faiza ni hovyo lakini sasa hapa umemuonea, mambo ya ccm na udini yanaingia vipi? Mbona hutaki amani wewe? Au unataka umchokonoe tu umsikie? Kama unataka na wewe siuingie dini yake na ccm yake? #&&*%*ko yako
 
kesi hipo. hawakurudisha hela yake, na wamevunja mkataba kwa kutomrurisha dar, na mwanza hawakuwepo kujibu maswali yakei (abandoning the client is illegal under the aviation law, hata kwenye tort law ni kosa kwa sababu jamaa kapata psychological na economic damages. na kwenye contract fastjet wamevunja mkataba bila consent ya another part to the contract of carriage waliyoingia. KWA HIYO LEGAL GROUNDS ZA.KESI ZIPO
 
Natamani sana nikutane na huyo wakili, nna kesi nyingi za kumpa. Tanzania tunasumbuliwa kijinga sana.

Kuna siku nimeenda BRELA nikaambiwa rudi baada ya masaa mawili, kwenda baada ya masaa mawili sikumkuta huyo afisa aliyeniambia nirudi baada ya masaa mawili. Nikakaa saa nzima kumngoja hajatokea, ikabidi niondoke na nirudi tena siku inayofatia, nikamkuta, nikamueleza alichonifanyia jana. Bila hata remorse au samahani akanambia njoo kesho. Can you imagine? Nami sikukubali nikaenda kwa maboss nikawaeleza. Wakanitatulia tatizo langu in 2 minutes. Hebu fikiri, kazi ya dakika 2 imenichukuwa siku mbili, ni gharama ngapi ameniingiza yule kijana.

Tafadhali nijulisheni huyu lawyer nimtafute.

Huyu lawyer ni CDM aisee,serious.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
kesi hipo. hawakurudisha hela yake,
Kwenye terms and conditions zao wamesema watarudisha pesa au kumtafutia the next available flight au ikiwezekeza kupeleka muda wake wa ticket mbele kwahio kama ali-opt kurudishiwa pesa zake nadhani akifatilia madai yake within the required period anayo haki ya kurudishiwa pesa yake ya ticket.., au angebaki pale Dar basi Fast Jet wangekuwa liable kumtafutia the next available flight.., according kwa terms zao hawahusiki na wewe kuchelewa safari yako... wala hawatakulipa liabilities za wewe kuchelewa...

na wamevunja mkataba kwa kutomrurisha dar, na mwanza hawakuwepo kujibu maswali yakei (abandoning the client is illegal under the aviation law, hata kwenye tort law ni kosa kwa sababu jamaa kapata psychological na economic damages.
Safari ya Mwanza na kama yenyewe ilikuwa cancelled procedures ni kama za Dar tu..., na jinsi ya kuwatafuta wajibu maswali yake nadhani kuna ofisi zao angeweza kwenda (kama ni office hours) au kuwapigia simu.., sidhani kama kuwepo kwao uwanjani ni moja ya their legal requirements ambazo wanaweza kuwa nazo binded by law

na kwenye contract fastjet wamevunja mkataba bila consent ya another part to the contract of carriage waliyoingia. KWA HIYO LEGAL GROUNDS ZA.KESI ZIPO

Hizi formal contracts za mtu baina ya kampuni inayotoa service kwa watu wengi unakuwa automatically binded na small prints (vigezo na masharti) kwahio kwenye documentations za fastjet zozote zile zinaweza zikakufunga na wewe kutokusoma terms au kutokuzijua haimaanishi hazipo.

Lastly ndio maana nikasema jamaa ana haki ya kurudishiwa pesa yake au kama angebakia fastjet walikuwa wanatakiwa kumtafutia next available flight.. Ila issue ya kulipwa pesa zote hizo haipo.., na hakuna Judge mwenye akili zake atakayeweza kumlipa pesa zote hizo.., sababu hii ita-open a can of worms kwa madai kama haya kutokea ambayo yatafilisi kampuni nyingi... Embu naomba uniambie any Precedent ya kesi kama hii (kwenye contract) iliyoshawahi kutolewa na mdai kwa kampuni yoyote akalipwa ziada ya pesa zile alizozidai na mimi nitakutajia kesi kibao ambao watu walikuwa hata wanayo more legal standing kuliko huyu na hawakulipwa even full amount of what was lost
 
Hawa ndio Watanzania wachache wanaojua na kutambua haki zao. Mashirika Mengi sana ya biashara yanatuchezesha mdumange na sisi tunakubali tu. Nawafikiriaga wale abiria wanaolazwagwa pale train stations kisa tu safari zimefutwa..... Wamama na watoto wao. ..........
 
Fastjet tena...! Hii kampuni ya ndege kwa ku- cancel flights bila taarifa wanaongoza, nakumbuka nilichojibiwa nilitosha. Sasa wamepata kidume cha kuwapelekesha.
 
Back
Top Bottom