Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
Hata 15. . .Kwa miaka mingapi?
Hata 15. . .Kwa miaka mingapi?
Hivi wewe ni KE au ME tafadhali jibu haraka maana naona unachafua hewa humu jukwaani wewe mtoto sio rizki KEFULE WEWEEEEEEE.Mimi ninajua anachotaka mume wangu tu,wengine sijui.
Hivi wewe mbona unajirahisisha sana au haujui unawasiliana na MASHOGAA?Hata 15. . .
Umejuaje kuna mashoga kama wewe sio shoga?Hivi wewe mbona unajirahisisha sana au haujui unawasiliana na MASHOGAA?
Mumeo huwa anataka nin?Mimi ninajua anachotaka mume wangu tu,wengine sijui.
Ukijua utampa?Mumeo huwa anataka nin?
Ashakum si matusi wewe Ever watoto wazuri hawatukani.Umejuaje kuna mashoga kama wewe sio shoga?
Acha maneno mbofu mbofu.... Kama umegombana nao wewe mie ni rafiki zangu tu, hivo yani
Nina wasiwasi na utimamu wako wa akili.Kama siku ile mimi na wewe ghetto,halafu ukatokea dirishani.
Hata sisi huwa hatujui wanachokitafuta kwetu.Huwa natazama jinsi wanawake wanavyoumiza kichwa kutafuta attention ya wanaume mpaka nawaonea huruma. .
Kwa uhalisia hawajui Tunachokitafuta. ..kama kuna mwanamke aliyegundua wanaume tunataka nini nishtue. ..ili ni mpe "Hela" awashtue na wenzake ili waache kuingia "Chaka"
walllah sio hicho ... jaribu tenaMnataka kukojoza hakuna kingine.....
Basi ahsante naona leo umeniamulia hivyo sina budi nikuombe msamaha,tafadhali nisamehe na usinitusi tena nimekoma sirudii ukichaa.Nina wasiwasi na utimamu wako wa akili.
Mfano. ..huwa wanafikiria nini kuwa michepuko ya waume za watu ilihali wanawakataa vijana wenzao. ...age ikienda 30's wanaanza kujaa makanisani kusali wapate wanaume wa kuwaoa
Namisigi sana comment zako,unaonekana ni msichana mkweli sana,huigizi maishaMnataka kukojoza hakuna kingine.....