Ngonjera zilianziaga hapa!
Hahahahaaaa yani mpaka najishangaa....!!! Nafikiri nimefunga automatic machine ya kupost na kureply bila kujifahamu
Hah kumbe hata wew unajiuliza hili ngoja nimuulize na mimiKaka huwa unalala sangapi?
mkuu wew ni server za.google?
Mie naona kama wakitoka kisimani
Mambo yanaanzaga wakienda, then wakirudi ni kama kuagana tu