Wakeup Call Air Tanzania mpo

Wakeup Call Air Tanzania mpo

Theodora

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
806
Reaction score
584
Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.

Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.

Kwa wale wazoefu mtaelewa rubani alituwa vile crash landing matairi yote kugusa ardhi same time, sio main wheels kwanza na ikaendelea kasi kama vile tuna takeoff tena. Abiria wengi walijawa hofu. Ni safari wengi wanaweza kufanya maamuzi ya kutotumia Air Tanzania.

Engineer Ulanga and Air Tanzania Management, this is food for thought.
 
💯📌
giphy.gif
 
Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.🥺🥺🥺
 
Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.

Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.

Kwa wale wazoefu mtaelewa rubani alituwa vile crash landing matairi yote kugusa ardhi same time, sio main wheels kwanza na ikaendelea kasi kama vile tuna takeoff tena. Abiria wengi walijawa hofu. Ni safari wengi wanaweza kufanya maamuzi ya kutotumia Air Tanzania.

Engineer Ulanga and Air Tanzania Management, this is food for thought.

Air Tanzania hawana abiria, hata wakianguka ni hao ma Pilot, na waliotajwa kwa report ya CAG ndo watakufa!
 
Sometimes Marubani nao huwa na siku mbaya Kazini!

Jambo la kushukuru Mungu, you landed safely.

Japo tahadhali yako ni muhimu kuchukuliwa na Management ya ATCL

Bado hatujasahau machungu ya kupoteza ndugu/jamaa zetu kwenye ile ajali ya Precision air Mwaka Juzi.
 
Naunga mkono hoja yako na nashauri mamlaka ya uendeshaji kampuni wazingatie suala la kupigwa msasa marubani wetu na hata wahudumu kwenye ndege zetu.

Rubani aliyerusha ndege ya Air Tanzania Bombardier Q400 iliyoruka kwenda Bujumbura kupitia Kigoma tarehe 12/02/2025, utuaji wake kwenye kiwanja cha ndege cha Kigoma haukuwa wa kawaida, afanye mazoezi zaidi ya landing kwenye simulators hii ni taarifa tu kwa nia nzuri. 🙏
 
Sometimes Marubani nao huwa na siku mbaya Kazini!

Jambo la kushukuru Mungu, you landed safely.

Japo tahadhali yako ni muhimu kuchukuliwa na Management ya ATCL

Bado hatujasahau machungu ya kupoteza ndugu/jamaa zetu kwenye ile ajali ya Precision air Mwaka Juzi.
Kuna kazi ukijiingiza hupaswi kuwa na siku mbaya. Better go back and sleep umwachia mwingine. Hasa kwenye masuala ya maisha ya watu.
 
Umesema sahihi, lakini ni nani ambaye hataki kupata Posho ya safari eti kutokana na kuwa na Siku mbaya Kazini

Madaktari, Marubani, Madereva wa mabasi n.k

Hujikuta wanakwenda kufanya majukumu yao ya Kila siku pamoja na changamoto ya stress/kutokuwa sawa

Kutokana na mifano miwili ilivyotolewa humu kuhusu hao Marubani wetu, Kuna haja Uongozi wa atcl ukachukua hatua
 
Sometimes Marubani nao huwa na siku mbaya Kazini!

Jambo la kushukuru Mungu, you landed safely.

Japo tahadhali yako ni muhimu kuchukuliwa na Management ya ATCL

Bado hatujasahau machungu ya kupoteza ndugu/jamaa zetu kwenye ile ajali ya Precision air Mwaka Juzi.

Kama ni kweli haijakaa sawa
Marubani wa kimataifa huwa wanatangazia Abiria kama hali ya hewa ni mbaya au kama kuna changamoto yoyote kabla ya kutua; ili watu wasishutuke, na ndio sababu ukifuatilia utaona baadhi ya ndege zikishatua, Abiria huwapigia Pilots makofi kama kuwapongeza kwa kazi nzuri (hii ni kama walitangaziwa)
Ndege haina nafasi ya try and error kama treni inayofuata reli yenyewe.
 
Kama ni kweli haijakaa sawa
Marubani wa kimataifa huwa wanatangazia Abiria kama hali ya hewa ni mbaya au kama kuna changamoto yoyote kabla ya kutua; ili watu wasishutuke, na ndio sababu ukifuatilia utaona baadhi ya ndege zikishatua, Abiria huwapigia Pilots makofi kama kuwapongeza kwa kazi nzuri (hii ni kama walitangaziwa)
Nafikiri Uongozi utakuwa umepokea maoni ya Wadau humu

Kwahiyo wale watakao safiri na ATCL hivi karibuni wanaweza kuleta maoni kuonesha Marubani watakavyokuwa wamebadirika.
 
Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft manufacturer issue na swala la training kwenye these models. Abiria na crew wote walifariki.

Sasa Air Tanzania imenunua Boeing kadhaa kuwezesha International flights. Je, uwezo wa marubani wetu ukoje ukilinganisha na hizo crafts za Boeing? Niweke tu kwenye record juzi tumesafiri na Air Tanzania kwenda Harare then Zambia. Ndege ya tarehe 8 June. Sitaki kumtaja rubani maana anajijua lakini kutua kwake Harare ulikuwa wa taharuki.

Kwa wale wazoefu mtaelewa rubani alituwa vile crash landing matairi yote kugusa ardhi same time, sio main wheels kwanza na ikaendelea kasi kama vile tuna takeoff tena. Abiria wengi walijawa hofu. Ni safari wengi wanaweza kufanya maamuzi ya kutotumia Air Tanzania.

Engineer Ulanga and Air Tanzania Management, this is food for thought.
Punguza ujuaji
 
Back
Top Bottom