Wakereketwa wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakereketwa wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaJambazi, Jun 10, 2012.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa Mjengwa blog

  SAM_2386.JPG

  Baada ya mkutano vijana hawa wamejikusanyia watu wengi.wamepanda jukwaani,na kuanza kuimba nyimbo mbalimbali za kizazi kipya.Ajabu ni kuwa walichafua hali ya hewa baada ya kuanza kuimba nyimbo za kutukana serikali na kukashfu polisi kuwa wamesababisha maisha magumu na kwamba heri warudi kijijini
   
 2. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yo yo yo. CCM mnatuzuga kwa zenu propaganda
  tumeamua kwa dhati, kuvaa magwanda
  mwanzoni mlitupiga, kwa kazi ya ukonda
  polisi wamezidi kututesa makamanda.
   
 3. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu! we huoni hao kuwa ni walevi?
   
 4. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tume, katoe maelezo kwenye mada yako jukwaa la mahusiano! watu wana maswali!
   
Loading...