Wakenya wengi wakubalian na matendo ya kushambuliwa kwa wageni huko "South AFrica"

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Wakenya wengi wameonyesha kukubaliana na kushambuliwa kwa wageni hasa hasa raia wa Nigeria kwa sababu hata Kenya, wanigeria wamejaa na wanekua wakichukua Kazi za raia wa Kenya.

Mtazamo huu sio Mara ya kwanza kwa wakenya kuonyesha chuki dhidi ya wageni kwa kisingizio cha kuchukua Kazi za wageni, ikumbukwe ni hivi karibu tu ambapo Jaguar aliyatamka hadharani kwamba watawapiga na kuwafurusha wageni wote wanaofanya biashara Kenya.
 
Ni lini Mkenya amechukua panga akakata Mnigeria? Ni lini Mnigeria ametiwa kiberiti hapa Kenya? Huku Kenya hata mwizi akikamatwa anapigwa tu kidogo kisha anapelekwa kwa polisi. Sisi tuko civilised. Usiwache chuki yako ya Kenya ikufumbe macho. SA is one of the most violent countries in the world. Hata wanauwa wanawake wao. Jana niliona video president Ramaphosa akiwakanya raia wake waache kuuwa kiholela wanawake wao. Umeona statistics za crime za SA?
 
Tony254 mleta mada angeanza kwa kuandaa poll hapa hapa Jf ndio tungeifahamu vizuri taswira ya chuki za watz dhidi ya wageni, sanasana wakenya. Nyuzi kama hiyo hapo juu haziehesabiki humu Jf.
 
Ni lini Mkenya amechukua panga akakata Mnigeria? Ni lini Mnigeria ametiwa kiberiti hapa Kenya? Huku Kenya hata mwizi akikamatwa anapigwa tu kidogo kisha anapelekwa kwa polisi. Sisi tuko civilised. Usiwache chuki yako ya Kenya ikufumbe macho. SA is one of the most violent countries in the world. Hata wanauwa wanawake wao. Jana niliona video president Ramaphosa akiwakanya raia wake waache kuuwa kiholela wanawake wao. Umeona statistics za crime za SA?
Tulia usikurupuke ktk kujibu hoja zako, huu Uzi kichwa chake ni kuhusu wakenya kukubaliana na matendo ya kuwashambulia wageni, hasa raia wa Nigeria, haujasema kwamba wakenya wanawapiga wageni kama wanavyofanya South Africa.

Kuunga mkono ni tofauti na kutekekeza au kutenda, unaweza kuunga mkono matendo ya ndoa za jinsia moja, au ushoga, hiyo haina maana kwa Obama au wamarekani wanaounga mkono nao pia ni mashoga, weka "records", zako vizuri.

Hiyo video hapo inaonyesha maoni ya wakenya, ulipaswa kuitafsiri hayo yanayozungumzwa na wakenya, hata kama unakanusha, basi ulipaswa kutumia hayo mazungumzo ya wakenya.
 
Hao nyang'au ndio walivyo. Ona yule jamaa sijui njagua au nini, naye ana mawazo ya kijiga jinga tu.
 
joto la jiwe, ukimaliza kufanya projection ya chuki zako kwa wakenya muite kilaza mwenzio Annael. Aje atufafanulie maudhui ya uzi wake huu kuhusu kuwafurusha wakenya kwa fujo. Alafu hoja yake ilipata uungwaji mkono wa wenzako, tena wengi sana.
 
Kama Rais wenu mliye mchagua anakimbia MIDAHALO NA HOME BOYS wenzake, Nyinyi ambao mmemchagua huo mshindanishwe ORAL INTERVIEW na WAKENYA NA WAGANDA kweli mtafua dafu! Endeleeni kupeleka hao wakimbia midahalo kwenye interviews kwenye International organization, hizo fursa mtaendelea kuzisikia radioni.
mkuu kusoma sio kukariri kama watz mnavyofanya,hsts mimi nikianzisha shule naajiri wakenya,watz maneno mengi halafu competion zero halafu wavivu
Sebureni =sebleni

Acha taarabu basi,
Pumzika kidogo, ushakula pilau kwanza,?? coz naona kama una njaa hivi??
Hapa Mleta mada kapigwa chrnga ndani ya nyumba yake.

Annael alienda wapi?
 
https://www.jamiiforums.com/threads...ra-kwa-wageni-kuishi-na-kufanya-kazi.1625538/ joto la jiwe, wakati Kenya ikiendelea kuboresha mazingira ya wageni kufanya kazi, wenzako nao wanaumwa wakiona wakenya wakituma hela kwao. Tuendelee ama tusiendele?
 
Wewe ni mzushi, mzandiki na mnafiki, pitia maelezo ya huyu jamaa.
Anajaribu kueleza kuwa hata ongekuwa Kenya wangechukua hatua kwa alichokifanya Mnaijeria?
Wewe utavumilia wageni wawaue tena kwa uonevu?
 
Mwasiti umeishiwa na point hadi unaleta vitu vya 2013
Najua huna raha baada ya ndege kurudi.
Mwasiti doesn't argue with Mad Men.
tapatalk_1567765370505.jpeg
 
Kichaa kinakusumbua.

Wakenya wengi wameonyesha kukubaliana na kushambuliwa kwa wageni hasa hasa raia wa Nigeria kwa sababu hata Kenya, wanigeria wamejaa na wanekua wakichukua Kazi za raia wa Kenya.

Mtazamo huu sio Mara ya kwanza kwa wakenya kuonyesha chuki dhidi ya wageni kwa kisingizio cha kuchukua Kazi za wageni, ikumbukwe ni hivi karibu tu ambapo Jaguar aliyatamka hadharani kwamba watawapiga na kuwafurusha wageni wote wanaofanya biashara Kenya.
tapatalk_1567765370505.jpeg
 
babayao255 dawa ya deni Ni kulipa kuondoa aibu ndogo ndogo Kama ya Kukamatwa kwa vitu vyako... ushawahi sikia Nchi nyingine duniani yenye kupitia aibu ndogo ndogo za Madeni 😂😂 😂
 
Tanzania is known for not paying debts, they are the only country in East Africa that were not able to pay their loans hadi ikabidii wasamehewe.
babayao255 dawa ya deni Ni kulipa kuondoa aibu ndogo ndogo Kama ya Kukamatwa kwa vitu vyako... ushawahi sikia Nchi nyingine duniani yenye kupitia aibu ndogo ndogo za Madeni
 
Nakubaliana na mtoa mada wakenya ni wa kuwaangalia kwa kwa umakini zaidi,jana nilikua naangalia mjadala KTN kuhusiana na Xenophobia huko SA ikiwahusisha mtangazaji wa kipindi,kuna jamaa mmoja mchambuzi wa mambo ya kisiasa(Mkenya)na Saidi kubenea(mbunge from Tz) kama mgeni mwalikwa.

Wkt mdahalo unaendelea huyo mchambuzi akasema kwa mfano sisi hapa Kenya rais Kenyatta amealika watu kutoka popote hapa E/Africa waje kufanya kazi/biz hapa Kenya na sio kwamba wanapokuja hatuumii ila tunaumia sana tu maana hio kazi/biz ingeweza kufanywa na kijana wa kikenya.

Nilishtuka sana kwa kauli hio na nikajua hata ile kauli ya Jaguar wakenya wengi sana walii-support ki-chini chini,ni kuishi nao kwa umakini sana.
 
Back
Top Bottom