Wakenya Wangapi wanakumbuka hii advertisement ya Safaricom?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Hii kwa maoni yangu ndio the best advertisement ya Safaricom na pia the best Kenyan advert.

Halafu leo ndio nimeona jinsi hio advert ilitengenezwa. Safaricom ilitumia pesa nyingi sana kuitengeneza. 800 cast members, 2 helicopters and 7 provinces.

Nilikua nahisi fahari kama Mkenya kila nikitazama hilo tangazo, waliliandaa kwa kutumia nguvu nyingi sana.
 
Hii kwa maoni yangu ndio the best advertisement ya Safaricom na pia the best Kenyan advert.

Halafu leo ndio nimeona jinsi hio advert ilitengenezwa. Safaricom ilitumia pesa nyingi sana kuitengeneza. 800 cast members, 2 helicopters and 7 provinces.

Duh!!hii advert dada yetu mdogo ilkua ywaipenda sana..
Kakiskia kanatoka hata na pampers na kuanza kuimba
 
Ushirikiano wa wakenya upo kwenye matangazo ila in reality hawapendani hatari kama wachawi
 
Ushirikiano wa wakenya upo kwenye matangazo ila in reality hawapendani hatari kama wachawi

Sasa mlichofanyiana huko kwenu ndio upendo? Heri usinipende ila uheshimu haki yangu ya msingi. Dunia hii tumelazimishwa kuishi pamoja, hakukuwepo na kitu kinaitwa Tanzania au Kenya kabla mzungu kuja na kutugawa makundi makundi, hivyo tunalazimika kuishi pamoja ila kwa kuheshimu haki za kila mmoja.

Kuninyima haki yangu ya msingi ni pale umeona sifai, yaani umeniona kama takataka au maiti, ila pia hata maiti ina haki yake.

Hivyo hizo nadharia zenu za kuwa Wakenya hatupendani, huwa zinawafanya muonekane majuha maana tunaona mlivyo huko kwenu na kuwaonea huruma sana.

Kwa kweli sasa hivi hata hatuna haja ya kuendeleza ligi yoyote dhidi yenu, tunawahurumia sana.
 
Ushirikiano wa wakenya upo kwenye matangazo ila in reality hawapendani hatari kama wachawi
Endelea kukariri hizo propaganda zenu za enzi za ujamaa. Sasa hivi hamna tena 'moral authority' ya kuzungumza na wakenya kuhusu huo 'upendo' au hata uzalendo. Hivi majuzi walipokuwa wanazindua ripoti ya BBI pale Bomas of Kenya, Nairobi. Niliona wakenya na viongozi wao kutoka mirengo yote, chama tawala, upinzani ndani na nje ya serikali, waumini wa dini zote na wadau kutoka kwenye sekta tofauti, wakiwa wameketi pamoja kusikiza hoja na kujadili masuala nyeti yanayohusu taifa lao. Hata kama siungi mkono mswada huo na mbinu wanazotumia kufikia azimio la BBI(Building Bridges Initiative), wazo ambalo nalikubali. Ila inapendeza kuona kwamba uhasama wa kisiasa sio kikwazo kwetu sisi wakenya ikifika kwenye masuala yenye umuhimu mkubwa kwa taifa letu.
bbi3.jpg
 
Back
Top Bottom