Kenya 2022 Wakenya wanapaswa kuwa na subira matokeo yatangazwe

Kenya 2022 General Election

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient.

Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura. Wapo makarani wa Uchaguzi, ambao kila siku wanapokuwa kazini wanalipwa hela. Kwa hiyo they may want to stretch out this thing.

Huu ni wakati wa Wakenya kuwa na controlled emotions na kusubiri matokeo kwa subira ama sivyo inaweza kutokea fujo halafu dunia itasema Waafrika wanagombana tena kama kawaida yao, kwamba Waafrika hawajastaarabika.

Lakini ni mambo very interesting aliyokuwa anasema Mr. Chebukati, kwamba haitoshi mgombea kushinda tu kura ya urais.

Lazima awe ameshinda sehemu nyingi siyo nyumbani kwake tu.
 
Back
Top Bottom