Wakenya wahoji mbona Tanzania Mafuta yamepanda lakini Nauli ziko vilevile? Wapinga ongezeko la Nauli za Matatu na Bodaboda kwa 20% - 30%

Tanzania ni Nchi ya Amani na Upendo na ndugu zetu Wakenya wanatamani kuwa kama sisi

Kama kichwa cha thread kinavyojieleza
Tuzidi kuwaombea

Source yangu ni Citizen TV

Mlale Unono 😀 😀
Aisee nasema hiviii
Nasema hiviii
Wakenya waache ukuda.

Wao siyo misukule kama sisi huku. Kila mtu ashinde mechi zake
 
We jamaa mada zako Huwa sizielewi pamoja na PhD yangu! Sijui uko nchi Gani! Huwa natamani nione sura yako!
Nauli bongo hupanda wakati wowote hata bei ya mafuta ikiwa chini! Rejea bei za mwendokasi! Huwa wakijisikia tu wanapandisha!
 
😀😀
 
Hawa nao watuache tu na sisi tuna mizigo mingi tunabebeshwa na watawala tukihoji tunafunguliwa kesi za uhaini na ugaidi. Ukiona kwako kunaungua kwa mwenzako kunateketea kabisa.
 
Back
Top Bottom