Wakenya waendelea kuteseka kwa taarifa za Tanzania kuingia katika kundi la uchumi wa kati

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613
MY TAKE; Maumivu yatokanayo na roho mbaya, hayana dawa.

=======

Magufuli on the spot for lying Tanzania was elevated to middle-income economy

Erick Kombo Ndubi

- World Bank in its yearly review of economies elevated Tanzania from lower-income economy to lower-middle-income
  • President John Magufuli erroneously told netizens the country had been elevated to a middle-income economy
  • One of his followers searched through World Bank database only to realise the president's information was misleading

Tanzania President John Pombe Magufuli has found himself on the receiving end after one of his followers blasted him for lying Tanzania had been elevated to a middle-income country by the World Bank.

Magufuli who is vying for his second term in the upcoming elections in October had posted on his Twitter congratulating Tanzanians for the new economic status.

It's lower: Netizen blasts Magufuli for claiming World Bank elevated Tanzania to middle-income economy

Tanzania President John Pombe Magufuli during a past event. Magufuli had claimed the East African nation had moved to a middle-income economy. Photo: President Magufuli
"Today, the World Bank has declared Tanzania middle-income country. In this regard, I congratulate all my compatriots for this historic achievement. We had envisaged achieving this status by 2025 but, with strong determination, this has been possible in 2020," said Magufuli in a Twitter post on July 1.
However, a curious netizen went and retrieved the report only to find Tanzania had moved from low income to lower-middle-income.

Ideally, Tanzania had moved from $1,020 Gross National Income (GNI) per capita to $1,080 per capita entering the lower-middle-income category which is between $1,036 to 4,045 GNI per capita.
The GNI per capita is usually influenced by factors such as economic growth, inflation, exchange rates, and population growth.
To keep the income classification thresholds fixed in real terms, the scale for categorising countries is usually adjusted annually for inflation using the Special Drawing Rights (SDR) deflator.

The analysis is usually done on July 1 every year.

Another African country that moved to the lower-middle-income category was Benin with GNI per capita of $ 1,250.
The latest achievement puts Tanzania in the same category with Kenya.

It's lower: Netizen blasts Magufuli for claiming World Bank elevated Tanzania to middle-income economy

List of countries that moved upwards in the economic category as by World Bank report released on July 1. Photo: Screenshot from World Bank blogspot

Source: UGC

Notably, Despite the misleading information, Tanzanians congratulated the head of state for the milestone he had achieved in his first five years.

Source: Magufuli on the spot for lying Tanzania was elevated to middle-income economy
 
Mbona hata kenya tupo nao kundi moja? Kwa sasa sisi ni uchumi wa kati haijalishi mkubwa au mdogo ilimradi tumechomoka kwenye ldcs mliokua mnatutukania.
 
Mimi hawezi akanidanganya labda ndio maana mnaitwa wadanganyika 😂😂😂

Basi na wewe ni psychopath pia au ulilelewa na psychopath, hivyo unawajua mbinu zao, lkn Binadamu wa kawaida hana ujanja mbele ya psychopath, ...
 
Wakenya wanateseka sana...lakini hawana namna inabidi wakubali tu,now wapo kwa denial stage na wapinzani wa tz
 
Hao ni wakenya wanaoishi bongo ndio walioandika, wakenya wanasikia uchungu sana, huenda wakajifungua watoto mapacha jinsi uchungu ulivyomkali.
Wakenya na chadema ndio wanaopinga Kwa maslai yao binafsi, Chadema wanapinga ili kwenye kampeni wapate ya kusema nchi masikini sasa WB inaposifia kuhusu uchumi mzur wa Tanzania chadema hawapendi
 
Kwa hivyo Zitto Kabwe ni Mkenya?
Zito , Chadema wanapinga Kwa maslai yao katika kampeni na ndio maana ckuzote wanapenda kushikia bango yale matangazo ya kuikosoa serikali kutoka ktk hizo tasisi ,hawa wapo tayari kupinga miradi isijengwe ili waje kusema kwenye kampeni "waliahidi watatekeleza mbona hawajafanya" sasa sisi tushawazoea hao hawatupi shida . Ila ninyi musiojua kinachoendelea ndio mtasema Watanzania wanapinga , hao wanaopinga na sababu wanazozitoa ndio utajua kama hawana akili kiasi gani ,eti jitu meya la chadema linasema Mimi nikajua uchumi wakati ukiamka serikali inagawa supu kwani huko kwenu Kenya munanunuliwa supu na serikali au hizo nchi zilizoendelea zinagawa supu ?. Sasa hapo ndio utajua huyo Zito na chadema pungu 2
 
Kuna mahali hio taarifa ya Kenya inasema " The latest achievement puts Tanzania in the same category with Kenya. " sasa issue/wivu uko wapi hapa? Si huyo mwandishi amesema sasa mko category moja na Kenya ya Lower-middle income? angekua na wivu si hangesema hivyo?

Alafu kwa hizi siku zote Kenya ikijisifu kwa kuwa si low-income country, watanzania wengi wamekua wakisema tunapenda misifa, sijui GDP ya makaratasi........ punde tu mnapoingia lower-middle income mnaanza misifa ile ile kama sisi tulivyofanya!
 
Hamna bado nyie ni LDC, ni mfumo wa WB umebadilishwa tu. kila nchi ipo pale pale. Kundi la LOW INCOME sasa litaitwa Lower Middle Income

fatma karume aka Shangazi
@fatma_karume

Wallahi lazim Elimu ya #Tanzania iboreshwe. Kumbe tumewekwa kwenye KUNDI la LOWER MIDDLE INCOME kwa sababu WORLD BANK wamebadilisha MFUMO wakupima Utajiri wa Nchi na wameondoa LOW INCOME!

Translate Tweet
Image
1:21 AM · Jul 2, 2020·Twitter for iPhone
Wew ni mpumbavu wa mwisho....
 
Ndio mana mko failed state.....pimbi wew
 
Zito , Chadema wanapinga Kwa maslai yao katika kampeni na ndio maana ckuzote wanapenda kushikia bango yale matangazo ya kuikosoa serikali kutoka ktk hizo tasisi ,hawa wapo tayari kupinga miradi isijengwe ili waje kusema kwenye kampeni "waliahidi watatekeleza mbona hawajafanya" sasa sisi tushawazoea hao hawatupi shida . Ila ninyi musiojua kinachoendelea ndio mtasema Watanzania wanapinga , hao wanaopinga na sababu wanazozitoa ndio utajua kama hawana akili kiasi gani ,eti jitu meya la chadema linasema Mimi nikajua uchumi wakati ukiamka serikali inagawa supu kwani huko kwenu Kenya munanunuliwa supu na serikali au hizo nchi zilizoendelea zinagawa supu ?. Sasa hapo ndio utajua huyo Zito na chadema pungu 2
So SGR kutofunguliwa mwaka Jana ni kazi ya Chadema? Bagamoyo pia ni Chadema?
 
Back
Top Bottom