Wakenya wachoshwa na uzembe wa polisi, walinzi 5 wachoshwa mbele ya kituo Cha polisi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613


My take: Rushwa ikizagaa nchi nzima, hakuna eneo litakalobali salama. KDF wanauza mkaa na Sukari chafu huko Somalia wakati Alshabab wanashambua ndani ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom