WAKENYA TUMEWAKOSEA NINI LAKINI

WAKENYA TUMEWAKOSEA NINI LAKINI

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
3,581
Reaction score
7,288
baada ya Mt Kilimanjaro sasa wamemchukua na samata hawa jamaa kiboko
Screenshot_20190518-114715.jpeg
 
Wakati mwingine muangalie ni nani ameandika, maana kama ni Erick omond mnapoteza nguvu bure tu.
 
Huu uzi peleka kule kwnye jukwaa la east africa forum mana wanatusumbua sana kule
 
Ila wakenya bana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Hahaaaa hawa jamaa wana mbwembwe nyingi. Ukiwa mjinga mjinga utaamini kila wanchokisema.
 
Back
Top Bottom