Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,644
- 30,266
Kama hujui kiingereza kaa kimya, ona sasa ulipoona profesa Jay ukajua ni wa Mikumi.Ahahahahahhahah kesho watasema na Mshana wa Jf ni wakwao
Kama hujui kiingereza kaa kimya, ona sasa ulipoona profesa Jay ukajua ni wa Mikumi.Ahahahahahhahah kesho watasema na Mshana wa Jf ni wakwao
Kwa watanzania hapana, hiyo ni kwa wakenya tu.So alichokifanya huyo mmoja kwa nini useme ni Wakenya? Mtanzania mmoja akiandika kitu hapa JF utaweza kuwa judge Watanzania wote kwa alichokiandika huyo mmoja?