Wakenya ni watu wanafiki sana

Wakenya ni watu wanafiki sana

We kweli kenge kabisa mmesahau fitina na propaganda zenu mnazoeneza kuhusu Tanzania ni hivi karibu mmezuia magari ya Tanzania kuingia airport ili tu watalii wasije Tanzania mmeshindwa kuwakamata Al shabab wanawapiga kila siku mtaiweza Tanzania.

Kitu huelewe uliza au nyamaza kimya. Kenya wanatekeleza makubaliano na Tanzania ya mwaka 1985. Kenya kuruhusu magari ya Tanzania JKIA ilikuwa ujirani mwema/fadhila.Soma habari hii gazeti la the Standard la leo......Kenya has given Tanzania a two-week
ultimatum to review the bilateral
agreement that will allow the latter’s
tourism vans to access the Jomo
Kenyatta International Airport in the
latest spat between the two East
African countries.
Failure to agree, both countries will
resort to the 1985 bilateral agreement
that stipulates how tourism vans
access each country’s market. Kenya
will continue to bar the vans from
accessing JKIA as stipulated in the
agreement. The row has elicited
mistrust, suspicion and delicate
relationship between the two countries
in an already sour relation between the
two East African Community
neighbours and trade partners.
Kenya and her neighbour signed a
bilateral agreement in 1985 that barred
both Kenyan and Tanzanian tourist
vans from accessing game parks and
international airports. While Tanzania
implemented fully, Kenya partially
relaxed the rules to allow Tanzanian
vans to access her international
airports.
The agreement provides that tourist
vans from Kenya drop passengers at
the border posts at Lunga Lunga,
Taveta, Namanga and Nyakiyakaye on
the Kenyan side and Tanzanian vans
drop at Horohoro, Himo, Namanga and
Sirare.
Further, Kenyan tourist vans are
allowed to transport tourists to the
regional towns of Tanga, Moshi, Arusha
and Musoma while Kenya gives access
to all towns. The agreement does not
provide for entry into partner States’
airports, game reserves and parks
which has been the main bone of
contention.
This inconveniences Kenyan tour
operators’ clients who have to switch
vans if they want to cross the Mara
River and view Tanzanian game
animals. However, when Kenya decided
to fully implement the agreement,
Tanzania came out with guns blazing
accusing Kenya of being the ‘bad
brother’. This prompted Tanzania’s
Tourism Minister Lazaro Nyalandu to fly
in to meet his Kenyan counterpart.
 
Kweli kbs, Wakenya wengi wao ni wanafiki sana. Nimefanya nao kazi kwa muda mrefu, wajanja katika kuzungumza lakini utendaji hakuna kitu, ni wavivu. Wanapenda sana vyeo hata kama elimu aliyo nayo pamoja na uwajibikakaji ni ndogo kuliko wengine anaofanya nao. Wanapenda sana kufitini na kusengenya.
 
Katika majirani wanafiki tulio nao, Kenya wanaongoza. Wana wivu sana na amani yetu, utulivu wetu na umoja wetu. Mara kwa mara wamekuwa wakiandika habari hasi kwa lengo la kutuchafua, ni wakati sasa serikali ifanye maamuzi magumu iwarudishe wakenya wote kwao hasa wale wanaofanya kazi hapa Tanzania ili wakome na unafiki wao.

Freedom of speech! Halafu mbona hasi ndio nzuri inasaidia kuleta chanya!
 
Nikiweli kabisa tunao sehemu fulani hapa bongo tunafanyanao kazi,we acha tu,Majungu,Kujiona kwamba wao ni wasomi sana,kudharau wabongo,kutaka kushika vitengo vyote muhumu wanataka wao tu.
 
Kwa utapeli hao balaa wakija dukani kwako wanakwambia wanauza vitu kwa promo ukinunua umeliwa kwani hakuna promo wala nini
 
Kitu huelewe uliza au nyamaza kimya. Kenya wanatekeleza makubaliano na Tanzania ya mwaka 1985. Kenya kuruhusu magari ya Tanzania JKIA ilikuwa ujirani mwema/fadhila.Soma habari hii gazeti la the Standard la leo......Kenya has given Tanzania a two-week
ultimatum to review the bilateral
agreement that will allow the latter's
tourism vans to access the Jomo
Kenyatta International Airport in the
latest spat between the two East
African countries.
Failure to agree, both countries will
resort to the 1985 bilateral agreement
that stipulates how tourism vans
access each country's market. Kenya
will continue to bar the vans from
accessing JKIA as stipulated in the
agreement. The row has elicited
mistrust, suspicion and delicate
relationship between the two countries
in an already sour relation between the
two East African Community
neighbours and trade partners.
Kenya and her neighbour signed a
bilateral agreement in 1985 that barred
both Kenyan and Tanzanian tourist
vans from accessing game parks and
international airports. While Tanzania
implemented fully, Kenya partially
relaxed the rules to allow Tanzanian
vans to access her international
airports.
The agreement provides that tourist
vans from Kenya drop passengers at
the border posts at Lunga Lunga,
Taveta, Namanga and Nyakiyakaye on
the Kenyan side and Tanzanian vans
drop at Horohoro, Himo, Namanga and
Sirare.
Further, Kenyan tourist vans are
allowed to transport tourists to the
regional towns of Tanga, Moshi, Arusha
and Musoma while Kenya gives access
to all towns. The agreement does not
provide for entry into partner States'
airports, game reserves and parks
which has been the main bone of
contention.
This inconveniences Kenyan tour
operators' clients who have to switch
vans if they want to cross the Mara
River and view Tanzanian game
animals. However, when Kenya decided
to fully implement the agreement,
Tanzania came out with guns blazing
accusing Kenya of being the ‘bad
brother'. This prompted Tanzania's
Tourism Minister Lazaro Nyalandu to fly
in to meet his Kenyan counterpart.
Hiyo nakala ya makubaliano umeiona au na wewe ni kama huyo unayemlaumu kua hajui?
 
Katika majirani wanafiki tulio nao, Kenya wanaongoza. Wana wivu sana na amani yetu, utulivu wetu na umoja wetu. Mara kwa mara wamekuwa wakiandika habari hasi kwa lengo la kutuchafua, ni wakati sasa serikali ifanye maamuzi magumu iwarudishe wakenya wote kwao hasa wale wanaofanya kazi hapa Tanzania ili wakome na unafiki wao.

Umesoma hadi langapi? Nimeuliza kwa nia njema maana inaonekana hujui chochote kuhusu uhamiaji, uraia, jumuiya za kikanda na mengineyo.
 
Kuwa makini mkuu wanawatumia dada zao kutufanyia ugaidi ukiona mkenya anataka umuoe kimbia sana anataka ardhi huyo.

Yaani naona unawajua vizuri sana, ni kweli kabisa wanataka kuoa watanzania wapate ardhi wana mapenzi ya wizi wizi tu.
Watanzania tuwe macho.
 
Molembe via Milembe mmh haina haya ya kuwafukuza nduguzo kijana waache wajifarague
 
Anachozungumza mtoa mada kila ukweli wake ila kitu cha kushangaza sijui ni kwanini serikali yetu sikivu halioni hizi hujuma, mifano midogo tu:
1. Kenya na washirika wake Uganda na Rwanda mara kwa mara huwa wanafanya mikutano yao huku wakiiweka pembeni Tz na Burundi wataki wote ni members wa EA.
2. Mara nyingi tu Kenya huwa wanazui watanzania wasiende kupokea watalii tokea kwenye uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta. na mengine mengi.
Kitu ambacho kinanishangaza ni kwanini sisi watanzania tunazidi kuwakumbatia hawa jamaa kwani kuna kipi ambacho wanatuongezea hasa? Ukiangalia hata huu ushirikiano wa EA hauna maana yoyote kwani umekaa kinafiki tu.
 
Wabongo na kulialia bana, shida iko wapi? Kenya waTanzania wamejaa kweli, tumewakubali kama ndugu huku na hata polisi hawezi msamisha mtanzania pale Gikomba amuulize kitu, nyie kila siku mna post tu artcle za chuki dhidi yetu, tuliwakosea wapi? Hatuombi ukoo, the world is a global village na hela lazima tutafute, ndugu zangu wachagaa ndio nadhani watanielewa. waswahili bana
 
unafiki upi unaozungumzia?

Halafu suala la wakenya warudi kwao haliwezekani kwa maana watanzania wengi ni wavivu. hawawezi kufanya kazi hivyo zinafanywa na wakenya.

we boya niniii wakina Nani wavivu??? AU unaotaa ww
 
Mkuu MOLEmba tafadhali usijuumuishe wakenya ...sema "baadhi" hii ni sahihisho tu !!
 
Last edited by a moderator:
Wabongo na kulialia bana, shida iko wapi? Kenya waTanzania wamejaa kweli, tumewakubali kama ndugu huku na hata polisi hawezi msamisha mtanzania pale Gikomba amuulize kitu, nyie kila siku mna post tu artcle za chuki dhidi yetu, tuliwakosea wapi? Hatuombi ukoo, the world is a global village na hela lazima tutafute, ndugu zangu wachagaa ndio nadhani watanielewa. waswahili bana

Propaganda zenu tunazijua hata huu mkanganyiko wa EAC chanzo nyie kutaka bandari yenu itumike, mmekuwa mkieneza propanganda kwamba Tanzania kuna ugaidi ili watalii mna dharau na mnajikweza sana na hicho kingereza chenu kibovu.
 
EAC si mlileta ubishi tukaendelea bila yenyu, mbona unaitaja tena, nyie hamko kwenye huu muungano, its out in the open so usisingizie EAC. Kenya imeeneza propoganda kwamba TZ kuna ugaidi? hii mpya aise, hakuna jambo kama hilo Kenya imeeneza, uwongo mtupu. Kiingereza chetu kibovu ndio kinafanya utuchukie? seriously? nashangaa sana.
 
Smatta unajibu kwa busara sana. Ila sidhani kama utakuwa na busara hizi hizo linapokuja swala la masilahi. Ninawajua sana nyie. Mwanzo huwa mnaanza vizuri hivi baadae inakuwa balaa.
 
Imbecile ....wavivu tunawajua wapo mombasa wanauza cha kunyea

Acha usengele nyuma wew na usinitafutie ban, kama wanawauzia si mnanunua, endeleeni kununua maana afadhali kama wamekuja ma cute from Tz, Hao wanawake wenu mnashindwa kuwanunu kwasababu mnashindwa kutofautishana nani demu nani dume, wote sura ngumu.
 
Hodi,hodi,hodi humu.kunani?mbona mwalumbana bila faida?acheni kabisaaaaa!mzee mwakyembe atayasuluhisha.Hatutaki tafrani,vurugu,kelela na kusema sema hovyo.wanadiplomasia wapo.Nazani tumeelewana.
 
Smatta unajibu kwa busara sana. Ila sidhani kama utakuwa na busara hizi hizo linapokuja swala la masilahi. Ninawajua sana nyie. Mwanzo huwa mnaanza vizuri hivi baadae inakuwa balaa.

mkuu, nimeishi Dar miaka mingi sana, nimetoa mkee hapa, biashara nimepiga sana Dar na Arusha na niko na shugli zangu nyingi hadi sasa huko. kiukweli hatuombi ukoo, sisi ni wamoja, ingia pale Taveta ama Namanga ama border yoyote busy uwone jinsi watanzania na wakenya wanaishi pamoja bila kusumbuana na wanapiga dili tu bila kujali nani ndio nani. Nadhani wabongo mmekua na chuki nyingi sana dhidi ya Kenya, chuki zisizokuwa na msingi wowote, naona pia hio chuki mnailetea wa Rwanda, niko Kigali na tukijadili na marafiki kuhusu EAC, wanasema wabongo wana chuki na dharau dhidi yao. shida ni nini mkuu? sisi tunaishi na watanzania wengi Kenya na wala hautaskia mtu akisema watanzania wamefanya hili ama lile, mnasema tuna chuki lakini ukiangalia vizuri, nyie ndie wenye ubaya nasi. tuna tamaduni zetu tofauti, kama wengine wetu hatuamkuani shkamoo, tunapita tu, haimaanishi nina dharau, badala tuungane tujenge nchi zetu, tunashinda mitandaoni tukieneza chuki na dharau baina yetu, lets build our East Africa and stop all this hate.
 
Pamoja sana Smatta. Nimekuelewa vizuri kbs. Ila ukijaribu kupitia maoni ya wana-jf utaona kwamba karibu wote wanawalalamikia, hii inaonyesha kuna jambo fulani haliko sawa. Bila kuchukulia kiujumla kwamba ni chuki kwa Wakenya, inabidi na nyie mjiulize kwanini tuwachukie.
 
Back
Top Bottom