Wakenya na program yao ya chuchilshow.

Inaonesha ata chuchill yenyewe huijui prof hamo ni among comedians mwenyewe kabisa ni churchill.
 
Ile ni after church show,na ina kiingilio.
 
Saw
Ni churchil show.

Kiongozi ni Churchil mwenyewe!!! prof. Hamo ni among partcipants kama walivyokua kina Eric Omondi na wengine.

Bongo stand up comedy bado haijastawi, labda miaka mingi ijayo!!!!
Sawa..
 
kinaongozwa na nani?
 
Kipo chaneli gani nikiwinde.
Bongo hakuna stand up comedy, ila makelele kibao
 
Fanya utafiti wa kutosha kabla hujaamdika kitunchochote chenye reference. Bandiko lako linaku expose kuwa hukifahamu vozuri hicho kipindi na pengine umeona leo kwa mara ya kwanza.
Hiyo ni show ya stand up comedy inayofanywa chini ya uongozi wa churchil ambae nae ni comedian. Kipindi hicho kinaendeshwa kwa kuhusisha commedians mbali mbali ambao hulipwa na churchil. Show hufanywa kwa kiingilio kama zinavyofanyika show za stand up comedy hapa bongo na kina mc pili pili nk. Sasa hapa tusiongelee wamefanikiwa au kutofanikiwa kiasi gani kwa kuwa siyo hoja ya msingi. Kikubwa unachotakiwa kukijua ni kuwa hata hapa bongo hizo show zinafanyika. Na kumbuka kuwa watu wanaweza kukutana na kufurahi kwa pamoja kwa namna mbali mbali, si kupitia stand up comedy peke yake. Kuna matukio kama harusi, bar, disco, matamasha ya muziki etc....
N8meliangalia bandiko lake, msingi wake kwa kiasi kikubwa ni inferiority complex tuliyonayo wabongo wengi dhidi ya wakenya, na tabia ya kuwatukuza wakenya kuliko wanavyostahili.
 
Ki msingi ni jinsi ustaarabu na kucheka kwa nyuso za furaha je hapa kwetu vipi.
Unataka kusema huko hakuna bar harusi na vingine Vingi.??
Acha nyege
 
Stess haziondolewi kwa burudani au starehe. Tena ukienda kwenye starehe ukirudi ndio zinazidi. Dawa ya stress ni kutafuta pesa na kwa kuwa tupo kwenye karne ya hapa kazi basi jinsi tunavyopata pesa ndio stress zinaondoka zenyewe. Wao sasa wanatembea sisi inabidi tupae wametuacha mbali hatuna muda wa kustarehe ni kufanya kazi usiku na mchana
 

Hapo kwenye colour nyekundu umeongopea,,,,,,,,,ni mwaka 2007/2008 mkuu.
 
Kabla sijasoma story yako, kipindi kinaitwa "CHURCHILL SHOW" na sio "CHUCHIL SHOW".
Haya ngoja niendelee...
 
Wako nyuma sana sisi kwenye vijiwe vya kahawa watu wanahoja za msingi Na majadiliano yanaenda kwa nukta pasipo ugomvi.nasema wako nyuma sanaaaa ukija mijadala ya burudani simba vs yanga haaaàaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…