Wakenya hii imekaaje?

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,816
0FE53965-9F49-4A3F-A82E-4EFF9A665D93.png
0FE53965-9F49-4A3F-A82E-4EFF9A665D93.png
 
Imekaa ovyoo kishenzi full balaa, yaani tu basi natamani kumla mtu kibao, ila na kwenu kabla kutuuliza mjiulize hawa hapa chini wanaowatabasamia na nyie mnakenua meno imekaa vipi. Humo mmoja ametosha kusheheni kirusi kisha amuambukize mhudumu hotelini, huyo mhudumu arudi kwake Uswazi na kukisafisirisha kitue Tandale, hapo ndio kiama kitakua....

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom