Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,713
Watanzania sisi ni wa mwisho kila kitu... Kama Manyumbu vile.. Wala sikumbuki mara ya mwisho Mtanzania amerudi na medal yeyote kwenye mashindano ya kimataifa wakati wenzetu wa Kenya kila siku wanapaisha nchi yao... Sisi tumekalia majungu na vijana wetu kutukanana Instagram kila siku...
Heko sana Wakenya, mnazidi kutawala kila nyanja ya michezo, naona mna wachezaji kadhaa kule NFL Marekani wanacheza na wanajituma kweli, naona mna mchezaji pale EPL na karibuni atatua kwenye timu kubwa za pale England.. Sie Watanzania sijui tumefanikiwa kwenye nyanja ipi labda Umoja na Utulivu