Uhuru wao waufanyie huko. Mbona hapa hatujaona kumdhihaki Uhuru Kenyata.
Wamefanyia kwao,TV yao...Hawajafanyia hapa na hawana haja ya kuja kufanyia humu..
Naadhani hata hujui ipo wapi na imefanyikia wapi
Wewe sijui mtanzania gani?!?!
Mimi kua Mtanzania hakunizuii kukubali chochote kile duniani ninachokipenda kupitia macho yangu binafsi..
Kua Mtanzania hakushurutishi kumshabikia Rais au kiongozi yeyote wa Tanzania....sipo under that obligation!
Nina obligation kwa Taifa na watu wake na wala sio Rais au kiongozi yeyote.Sana sana yeye ndio ana obligation ya kunihudumia mimi mpiga kura wake na wala sio mimi kumhudumia yeye!
Na pia obligation yangu mimi ni kwa familia yangu,jamii yangu then nchi inakuja ya tatu na wala sio ya kwanza
Kama hutaki hilo ni too bad I can't help you,kunywa simu ukafe tu!
Ndio maana Jagua kawafukuza huko kwao kutokana na ubwege wa kuwakumbatia wakenya!
Jaguar ni mpumbavu kama wewe na wenzako mliochoma vifaranga na kutaifisha ng'ombe na kufukuza kazi Waafrika Mashariki wenzenu na kuzuia biashara zao za maziwa,etc...Nyie wote kwa ujumla wenu na Jaguar na kenge wengine kama wewe ni shwaini na hamtumii akili zenu vizuri!
Punguani wakubwa kujenga sera za kubaguana wenyewe kwa wenyewe Afrika Mashariki hii hii moja...
Ndio maana wenye akili kubwa kama Kagame hakuna passport au working permit kuingia Rwanda.Any African is free in Rwanda!
Punguani nyie wote jumlisha na Jaguar wenu!
Hata wakifanya jambo baya sio tu kwa Mtanzania bali kwa kiongozi wa nchi hii haikubaliki!
Haikubaliki kwako wewe na upo huru kutokukubali...
Hoja hapa ni ni artistic satire kumhusu kiongozi ambapo inakubalika worldwide.
Mlivyo insecure na full wa madhambi mkifanyiwa comedic satire mnaanza ku-catch feelings..Waoga kama digidigi!
Kikwete mwenyewe likua anafanyiwa satire,Clinton,Trump,etc..every popular figure hufanyiwa satire....mkifanyiwa wehu mnawehuka!
What a loss!!!
Jiwe hata achorwe hapa na Greenland North Pole huko,silalamiki ng'o,na tena kama walikua hawana idea zaidi za satire ntawaongezea!
Jiwe? Who cares?
Nobody,except you and other clueless miserable minions!
Thank you!