EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,323
- 20,983
Kuna comedy inaonyeshwaga kwenye ktn inaitwa visanga vya makufuli humo wanamuigiliza Mh.Rais humo wanamuigiza mheshimiwa akifanya vituko akilenga mbalamwezi na manati,mara apande kwenye mti pia akiwa hajui kingereza.Wakenya acheni hii mambo muigizeni kenyatta.Hizi ni dharau na dhihaka kwa Rais wetu mpendwa.
Leo tar 2.7.2019 Visanga vya muheshimiwa vinaendelea kwanza ameletewa bajeti ya waziri fulani,ameisoma akabaini kodi kwenye mbogamboga kama sukuma wiki iko juu,baada ya kuona hilo akawa mkali akamchenjia mh waziri