Wakenya 20 wapigwa marufuku Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakenya 20 wapigwa marufuku Uingereza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ishuguy, Dec 12, 2009.

 1. i

  ishuguy Member

  #1
  Dec 12, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Uingereza imewapiga marufuku zaidi ya wakenya 20 ikiwa nipamoja na maafisa wa ngazi za juu kuitembelea kutokana na madai ya ufisadi .
  Balozi wa Uingereza mjini Nairobi amesema kwamba marufuku hiyo imechukuliwa kama hatua ya mwisho kuhakikisha kuwa watu binafsi wanaohusishwa na ufisadi wanafanyiwa uchunguzi na kushtakiwa nchini Kenya.

  Hatahivyo amesema kuwa hakuna afisa wa ngazi za juu serikali aliyeshtakiwa kikamilifu katika mahakama ya Kenya, amesema serikali ya Kenya imekuwa ikipuuza maombi ya wachuunguzi wanaotaka maelezo zaidi kuhusu washukiwa.


  hivi kwanini na mafisadi wetu wasipigwe marufuku huko ulaya?
  hata hao waliopelekwa mahakamani ni danganya toto tu, kesi zinaishia juu kwa juu tu. otherwise Kuna kitu serikali ya kenya imetofautiana na hawa jamaa.
   
 2. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  aisee hiyo nimeipenda sana bwana na nilifurahi nilipoiona bbc world news asubuhi hii..................nasikia tz tunaongoza africa kwa kutumia pesa za wafadhiri vizuri na ufusadi haupo kabisa tz................tehe........te.....teeee
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kuna la zaidi la lile tunaloambiwa. Undani hili bifu litakuwa kwenye maslahi, na itakuwa ukosefu wa busara kudhania kuna yeyote baina ya hao wanaotetea haki za Wakenya wa kawaida. Nahisi hawa jamaa wamepishana kwenye ngawira sasa hao wakoloni kwa kujua udhaifu wa ngozi nyeusi ya kubabaikia uzungu wanajua wapi pa kuwabana. Unakumbuka Mugabe alipowabana kwenye ardhi walimpa ban hiyohiyo na yeye akawapa ban vilevile..he he he..
   
 4. i

  ishuguy Member

  #4
  Dec 12, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  halafu wameamua kuisifia na kuwa karibu sana na jirani yao(tanzania) kama kuwakomoa vile. USA wanaipa sana support tz.
   
Loading...