Wake zetu

pole kama yamekukuta lakini usijumuishe wanawake wote walio kwenye ndoa la asha! kwa research fupi niliyofanya wanawake wengi ambao awajatulia katika ndoa zao lazima kunakutokuelewana katika ndoa zao na hao walio wa waume zao, ingawa pia wapo wenye tamaa ndipo ujiulize uyo mkeo ulikumta wapi? ulimsoma tabia kama ulimkubali na ukicheche wake tokea mwanzo baasi vumilia,
 
Mwanamke siyo kiumbe wa kumuachiaachia kuchukua maamuzi bila kumfuatilia kwa karibu. unatakiwa ukabe mpaka penalti.
 
pole mkuu nahisi yamekufika hamna maneno ya kusbstute pain,km vipi tafuta mwingine nenda hata kujijini ukampate wako mwenyewe atakayekuheshimu
 
Bado nipo nipo kwanza

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Maisha yetu yanaongozwa na mungu,mwombe sana na pia mume ndo kichwa cha familia jaribu kumkanya juu ya tabia zisizokupendeza
 
Hapa si bure!!!
Huyu washammegea!
Pole mkuu! Issa alisema "...ukimnyoshea mtu kidole kimoja, vidole vitatu hukurudi mwenyewe...!"

Kwa hiyo akimegwa wa kwake ndio dunia nzima wanamegwa?
 
Mhhh...mi sisemi kitu nisije kuchafua hali ya hewa..
 

^^
Kuna ukweli pia
^^
 
BOSTON, usipo mwamini mkeo ndoa yako haiendi mbali, ni LAZIMA Umwamini ndipo utaweza kuonyesha upendo wako kwake ili na yeye akuheshimu kama ilivyoagizwa ktk maneno matakatifu,

Uwe na msimamo kwa mke wako na sio kwa maneno ya watu, watakuvunjia ndoa yako ili wamfaidi mkeo
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Mimi simo kwenye kundi hilo.
 

Yani unaishi na mme wa dizain hii? Kisa ni nini? Ameshindikana? Lol pole sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…