Wake zetu Shida ni nini?

Wake zetu Shida ni nini?

Namshakende

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
771
Reaction score
1,903
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
 
Back
Top Bottom