Wake zetu nani aliyewaroga?

Prosper C Manasse

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
635
690
*Utakuta Mwanamke Anamuheshimu Mtu Asiyemjua Kuliko Hata Mumewe.

*Mumewe Akimueleza Jambo, Atalipuuza Na Kumuona Fala Wakat Yeye Ndiye Anayemlisha, Kumlaza Na Kumvisha.

*Nyumbani Akifika Mchungaji/Shekhe/Ustaadhi Basi Ataonyesha Heshima Kumbwa Mno Lakn Kwa Mumewe Wala Hajali Hilo.

HUWA NAJIULIZA HIVI.
*Kama Mkeo Anashindwa Kukuheshimu Leo Unakitu, How Comes Kesho Huna Hata Nauli Ya Kwenda K'koo?.

*Ebu Tujiulize Ndugu Zangu Wanaume Maana Sisi Ndio Vichwa Lakn Wengiwetu Leo Tumegeuka Mafala.

IKITOKEA SIKU
*Umekaa Miezi6 Huna Mbele Wala Nyuma Yani Mpaka Nauli/Vocha Unaomba Kwa Mkeo Na Mkeo Akakuheshimu Vyema Kabisa Bila Masimango Wala Kukunyima Unyumba.

FANYA HIVI KAKA YANGU.
*Ukiamka Asubuhi Mpigie Magoti Kisha Mpe Shikamoo3 Za Nguvu Halafu Mlambe Matongotongo Maana Huyo Atakuwa Mke Bora Kuliko Wake Zetu Wote East Africa.

ZAMANI.
*Love Was A Package Yani Ukipenda Unapenda Vyote Hadi Udhaifu. . . .

. . . Lakin LEO. . .
*Love Is A Small Part In A Package. Ukipenda Unapenda Kasehemu Fulani Tu Sio Vyote Kwa Maana Nyingine Badala Ya Kupenda Msitu Unapenda Mti Tu Ka Mchana Mbao Na Si Mchoma Mkaa Ambaye Ye Anachukua Kila Mti

JIULIZE KAKA.
*Wewe Unamlisha, Unamvisha Na Kumlaza From January To Dec Lakn Akitokea Jamaa Kampa Elfu30 Kwa Mara1 Tu, Basi Atatukuzwa Na Kutoa Siri Mpaka Za Kitandani Kwa Thamani Nyekundu3.

*Nyie Wakezetu! Hivi Nani Aliyewaroga Jamani?.
Aah. . . !! Ngoja Niishie Hapa Mie.

*Mapenzi Ya Leo Yakutafuta Kwa Tochi Wakati Enzi Zetu Wala Haikuwa Hivi. . . . ., Vijana Wangu Babu Yenu Nawaambia Hili.

SHIDA YA VIJANA WA LEO.
*Badala Ya Kuoa Tabia Mnaoa Hips Na Makalio Makubwa Halafu Manajiita Wajanja Sorry Vijana Wangu Msije Mkanitupa Babu Yenu Hata Kwa Pesa Ya Tumbaku Na Kahawa Nikaadhirika Babu Yenu.

NB: WE Mary Life Style While We Are Going To Live With Characters.
 
Ukiwa mwema sana wanakuona fala, mume akirudi kazini anajaa sitting room, mnagombania remote, hembu potea kidogo umpe nafasi ya kuuliza 'baby where are you? Basi sili ninakusubiri.
 
Ndio Maana Ndoa Za Sasa Nyingi Shida Sana Maana Hakuna Kumcha Mungu Watu Hujiamulia Tu Ndio Machaguo Yao
 
*Utakuta Mwanamke Anamuheshimu Mtu Asiyemjua Kuliko Hata Mumewe.

*Mumewe Akimueleza Jambo, Atalipuuza Na Kumuona Fala Wakat Yeye Ndiye Anayemlisha, Kumlaza Na Kumvisha.

*Nyumbani Akifika Mchungaji/Shekhe/Ustaadhi Basi Ataonyesha Heshima Kumbwa Mno Lakn Kwa Mumewe Wala Hajali Hilo.

HUWA NAJIULIZA HIVI.
*Kama Mkeo Anashindwa Kukuheshimu Leo Unakitu, How Comes Kesho Huna Hata Nauli Ya Kwenda K'koo?.

*Ebu Tujiulize Ndugu Zangu Wanaume Maana Sisi Ndio Vichwa Lakn Wengiwetu Leo Tumegeuka Mafala.

IKITOKEA SIKU
*Umekaa Miezi6 Huna Mbele Wala Nyuma Yani Mpaka Nauli/Vocha Unaomba Kwa Mkeo Na Mkeo Akakuheshimu Vyema Kabisa Bila Masimango Wala Kukunyima Unyumba.

FANYA HIVI KAKA YANGU.
*Ukiamka Asubuhi Mpigie Magoti Kisha Mpe Shikamoo3 Za Nguvu Halafu Mlambe Matongotongo Maana Huyo Atakuwa Mke Bora Kuliko Wake Zetu Wote East Africa.

ZAMANI.
*Love Was A Package Yani Ukipenda Unapenda Vyote Hadi Udhaifu. . . .

. . . Lakin LEO. . .
*Love Is A Small Part In A Package. Ukipenda Unapenda Kasehemu Fulani Tu Sio Vyote Kwa Maana Nyingine Badala Ya Kupenda Msitu Unapenda Mti Tu Ka Mchana Mbao Na Si Mchoma Mkaa Ambaye Ye Anachukua Kila Mti

JIULIZE KAKA.
*Wewe Unamlisha, Unamvisha Na Kumlaza From January To Dec Lakn Akitokea Jamaa Kampa Elfu30 Kwa Mara1 Tu, Basi Atatukuzwa Na Kutoa Siri Mpaka Za Kitandani Kwa Thamani Nyekundu3.

*Nyie Wakezetu! Hivi Nani Aliyewaroga Jamani?.
Aah. . . !! Ngoja Niishie Hapa Mie.

*Mapenzi Ya Leo Yakutafuta Kwa Tochi Wakati Enzi Zetu Wala Haikuwa Hivi. . . . ., Vijana Wangu Babu Yenu Nawaambia Hili.

SHIDA YA VIJANA WA LEO.
*Badala Ya Kuoa Tabia Mnaoa Hips Na Makalio Makubwa Halafu Manajiita Wajanja Sorry Vijana Wangu Msije Mkanitupa Babu Yenu Hata Kwa Pesa Ya Tumbaku Na Kahawa Nikaadhirika Babu Yenu.

NB: WE Mary Life Style While We Are Going To Live With Characters.
Ukiona hivyo 6X6 matatizo ndugu yangu!
 
Hii ni matokeo ya mwanaume
Kucheka cheka hovyo...

mzee wangu leo ni mzee kweli
lakini sijawahi kuona heshima
yake ikishuka hatumuogopi
anarudi muda anaotaka
anakunywa sana ila
hakuna wa kumchezea
akikohoa tu watu wote hapa
kumpa tu mtu mimba sio kua baba
kuwa baba ni kitu kingine kikubwa
 
Siku hizi wanawake wanapenda vitu sio watu.........utakuta anasema fulani simpendi ila atanioa kwa sababu ana hela nyingi au kwa sababu ni tajiri........Ulofa huu
 
Back
Top Bottom