Wake za watu

Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?

hivi x = s?
 
Tatizo binadamu wengi hupenda ku pretend wao ni malaika.
Kwa nilipopitapita, wanawake wote waliojitambulisha kwangu kuwa wao ni kama malaika, niliishia kugundua kuwa wao walikuwa ni ushetani mwingi mno. Na wale ambao hawakujisifia umalaika ndio walikuwa na umalaika mwingi mno. kwa hiyo nikionaga mtu anaanza kujisifia umalaika huwa namchoraga tu.
 
Na mimi nawapongeza
Na mimi nawapongeza
 
Mim kwa upand wangu naamin mke wa mtu anayetoka nje ya ndio anasababu ten ya msing coz mwanamk akisema amependa huwa amependa kwel ina akichok na huwa anachok kweli
 
Lazima pawepo na sababu. Sababu mojawapo ni maelewano mabovu kati ya wana ndoa. Lakini pia u busy wetu na kazi hata kusahau majukumu ya ndoa. Lakini pia kutowafikisha kileleni na hivyo kulazimika kutafuta mtu atakae ipiga kama anaendesha baiskeli mlimani. Maumbile yetu pia ni sababu na hasa wanaume wanene ambao kajamaa kanakuwa hakafanyi kazi yake ipasavyo lazima utapigiwa tuuu
 
Mh hao wake za watu si wanatoka na waume za watu? Shida ni kwa wote watokaji nje ya ndoa usikikmbilie wanawake tu hata waume za watu nao ni hodari
 

siku zote kucheat kuzuri ni kule ambako hakuna sababu inayokutuma zaid ya kutaka kupata raha tu.
 

Nina uhakika hujawahi kupatwa na matatizo ya mume wako kuwa na nyumba ndogo mahali... ikifikia hapo akili yote hupaa, na utakalowaza ni kulipiza tu, upende usipende, labda uwe na roho ya chuma...
 
Nina uhakika hujawahi kupatwa na matatizo ya mume wako kuwa na nyumba ndogo mahali... ikifikia hapo akili yote hupaa, na utakalowaza ni kulipiza tu, upende usipende, labda uwe na roho ya chuma...
ha haaa, unamlipiza nani?
unamkomoa nani?
wewe mwenyewe unapata raha gani?
hasira/visasi/kukomoa/chuki....... vinaleta raha kwenye mapenzi?
kwa upande wangu nafanya mapenzi ili ni-enjoy, hata nikiwa na mume wangu kama nina hasira au nina mawazo fulani (ambayo hayajasababishwa naye) siwezi kufanya mapenzi, sababu sitapata kitu kile ambacho nakitaka; sembuse kwa mtu tu huko nje? yaani niende kujiumiza sababu ya kumkomoa mtu?
nasema tena na tena na tena, siku nikiamua ku-cheat basi ujue nimevutiwa saaaaana na huyo mtu na huko najua kuwa naenda kupata raha tu na si vinginevyo
 
Reactions: BAK

Huwezi kujua kwamba utapata raha mpaka utakapoonja FP... Unalazimika u - cheat.. uonje na ndipo ulinganishe kama kuna raha au la..
 
Huwezi kujua kwamba utapata raha mpaka utakapoonja FP... Unalazimika u - cheat.. uonje na ndipo ulinganishe kama kuna raha au la..
My dear, feelings zangu siyo za majaribio......
sijawahi and I will never do that to myself
 
Reactions: BAK
My dear, feelings zangu siyo za majaribio......
sijawahi and I will never do that to myself

You are very peculiar FP. Let's go PM for further clarification.
 
Unapenda maraharaha weye eeh!? wala usijibu maana najua jibu lako litakuwa ni swali KKY lol!

Have a great weekend


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…