Wake za watu

ni kweli ukiwa na hasira unaweza kupata hasara ni bora kutuliza akili ndo ujue utoke nje au ubaki ndani... ila Mungu nae anatakiwa kuhusishwa jamani
na ukishatuliza akili tu ugomvi ukaisha hutaweza kutoka nje tena
 
Watu wameacha maadili mazuri yaliyo ktk Biblia ndo maana uaminifu umepungua.
 

ha ha ha huwezi elewa.
nisingekua na huyu jamaa wa nje nadhani hata hapa JF msingenijua ayanda maana maybe ningekua wodi ya vichaa muhimbili.

yani jamaa amenituliza kwa ailimia 100, na pia ni mtu ambaye tunasaidiana hata mambo mengine ya maisha kwa hiyo sio kwamba niko nae eti kwa ajili ya mapenzi tu, HE IS MORE OF A FRIEND MUMIE.

na simuachi ngo, maybe aniache yeye.
 
kila la heri.....
ninachoweza kukuombea tu ni asikuache, maana likitokea hilo sijui hali itakuwaje, lol!
 
kila la heri.....
ninachoweza kukuombea tu ni asikuache, maana likitokea hilo sijui hali itakuwaje, lol!

unadhani itakuaje mumie!

kuniacha hawezi maana design yenyewe ya affair tuliyonayo hatuwezi achana.

maana haijulikani kama tupo pamoja ama la! yani hadi raha

am a big gal, kama mume na hawara walikua wanitumia sms kwamba wametoka gesti na sikufa wala nini sembuse kibuti cha kidumu!

sina mapenzi ya dhati kwa yeyote dunia hii, naumizwa na mi naumiza yeyote! potelea mbali
 
uuuwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii, sitaki kabisa kufika hapa....
yaani moyo ni kama umechomwa sindano ya ganzi! lol!
 
uuuwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii, sitaki kabisa kufika hapa....
yaani moyo ni kama umechomwa sindano ya ganzi! lol!

Mh na wewe yani ishu ndogo ndo uumie moyo.

anyway, sasa huwezi jua, jamaa anaweza kuwa mumeo.

ha ha ha mbavu zangu mie
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmhhhhh, kwa nnavyomjua yule, he is smarter than this...
hawezi chukua mtu ambaye anaweza kujitangazia jf kuwa anatoka na mume wa mtu.
cc. snowhite, Nicas Mtei, Nivea, mwaJ, Dark City, BAK, cacico

ha ha ha ha ha kweli he is smarter kama anachukua mwanamke anayajitambua.

my dear, kwani nani kakwambia jamaa anajua natumia JF!

na huyo mumeo atamjuaje mtu wake 100%.

my dear hata huyu mume wangu mjinga ukimwambia ninatoka nje, hataamini maana anajua eti siwezi eti nampenda sanaa kumbe wapi.

kwahiyo mumie jamaa anaweza kuwa mumeo kama kawa tu.

chezeya binadamu weye! huwezi kumjua 100%
 
ndo maana nakuambia ni smart........ kama upo smart huwezi anza kutoka na mtu bila kumfahamu inside out
iwe anajua yupo jf au la hata kama atajitambulisha kwa fake id bado inatakiwa mtu smart kutambua kuwa aliyenaye hawezi akafanya hivyo. Mimi najua kila ambacho mume wangu yupo capable kukifanya, hata kama sitamzuia kukifanya lakini najua anaweza kufanya hiki, got my point?
 
Nilitegemea ungejiuliza kwanza ni aina gani ya mgogoro unaoweza kumpelekea mtu kutoka nje ya ndoa
 
Mmmmh! maneno ya hivi huwa yanatoka moyoni
 
Yule asiye ridhika ndania ya ndoa huwa wa wa kwanza kutoka nje na hii haijalishi ni mwanamke au mwanamme!
Lkn kama wote mnafanya kazi zenu sawia nakuhakikishia hakuna atakayetoka!
Wengine watatoka nje kwa ulafi wao tu, wakati mwingine humo ndani wala hakuna mgogoro.
 
wataoa na wata olewa, na watagawa kama kawaida " KAMA NI TABIA YAO".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…