Wake za watu

Wake za watu

Damas peter

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
15
Reaction score
2
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
 
Mkuu pole!yamekukuta kaka?!tafakari kisha chukua positive hatua...
 
Aisifiae mvua???

Sent from my EyePhone
 
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.
 
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?

Umegeneralize sana, ni wachache wenye tabia kama hizi, sema tatizo ni kuwa ubaya huvuma zaidi kuliko wema ...! Sababu mojawapo ya sababu nyingi ni migogoro ya ndani ya familia ambapo wanandoa wanashindwa kukaa pamoja na kuzungumza matatizo yao. Baadhi ya sababu nyingine ni kama tamaa, kushindwa kutimiziana haki ya ndoa, kukosa upendo, kushindwa kusaidiana, kuthaminiana nk
 
kitu cha mwisho kabisa kukiwazia nikiwa na matatizo katika ndoa ni kutoka nje ya ndoa......
hapo yaani naona kuwa najikomoa mwenyewe.....
halafu hivi ukiwa na hasira unaweza kuwaza mapenzi? tena na mtu wa nje?
 
ha ha ha hujawahi pata migogoro mumie.
 
ha ha ha hujawahi pata migogoro mumie.
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
 
Sio kweli wapo wake wanaojiheshimu sana na uwezi kuwaeleza upuuzi ukaenda nao sawa, inategemea huyo mke we mwenyewe ulimpata vipi na ulikutana naye wapi, kama ni vodafasta lazima umegewe.

mie nilidate na hubby for 6 years mpaka kuja kuoana.

baada ya ndoa akaanza kutoka tena kwa kunionyeshea live kabisa bila kificho wala woga.

basi na mie nikaona niingie ngomani nicheze, kwahiyo kwa sasa kila mtu anacheza ngoma kivyake tu, ila cha ajabu baada ya mie kuanza kuonja nje, naona mwenzangu kasi kapunguza yani ni kama vile kachoka ngoma za nje sasa anapenda acheze ndani wakati mie ndo kwanzaaaaaaa nimemkinai.

kwa hiyo ndo hivyo bro, nadhani nimekujibu
 
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?

my dear ni kweli ni ngumu kutoka nyumba ikiwa na tension.

so kinachofanyika ni kwamba mtu hutulia kwa muda na kutafakari kwamba anachohangaikia ni nini hasa, then akiri ikishatulia anaona migogoro ni kama kilema tu kwa hiyo mtu atatoka nje bila hata hasira wala nini.

tena baada ya kutoka nje, hata migogoro inapungua ndani maana hamna tena maugomvi, kelele wala wivu wa kijinga.

mume aliye makini anaweza kugundua mapema.
 
walahi siku hizi umezibuka!
umeniachaje hoi sasa na hili jibu!
 
Yule asiye ridhika ndania ya ndoa huwa wa wa kwanza kutoka nje na hii haijalishi ni mwanamke au mwanamme!
Lkn kama wote mnafanya kazi zenu sawia nakuhakikishia hakuna atakayetoka!
 
ni kweli ukiwa na hasira unaweza kupata hasara ni bora kutuliza akili ndo ujue utoke nje au ubaki ndani... ila Mungu nae anatakiwa kuhusishwa jamani
my dear ni kweli ni ngumu kutoka nyumba ikiwa na tension.

so kinachofanyika ni kwamba mtu hutulia kwa muda na kutafakari kwamba anachohangaikia ni nini hasa, then akiri ikishatulia anaona migogoro ni kama kilema tu kwa hiyo mtu atatoka nje bila hata hasira wala nini.

tena baada ya kutoka nje, hata migogoro inapungua ndani maana hamna tena maugomvi, kelele wala wivu wa kijinga.

mume aliye makini anaweza kugundua mapema.
 
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
tongoza mke wa mtu mkubaliane kabisa then reseach yako ianzie hapo mkuu ukiuliza huku hamna jibu sahihi .si wako rahisi na wewe kafanye reseach
 
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?

Kwa sababu wanaume wamekuwa wepesi kuwashawishi kimapenzi!
 
mie nilidate na hubby for 6 years mpaka kuja kuoana.

baada ya ndoa akaanza kutoka tena kwa kunionyeshea live kabisa bila kificho wala woga.

basi na mie nikaona niingie ngomani nicheze, kwahiyo kwa sasa kila mtu anacheza ngoma kivyake tu, ila cha ajabu baada ya mie kuanza kuonja nje, naona mwenzangu kasi kapunguza yani ni kama vile kachoka ngoma za nje sasa anapenda acheze ndani wakati mie ndo kwanzaaaaaaa nimemkinai.

kwa hiyo ndo hivyo bro, nadhani nimekujibu
kwa hiyo unafanya kwa kulipiza kisasi?
yaani nina uhakika hupati starehe ambayo ulitakiwa kuipata.
unafanya kwa hasira ya kulipiza kisasi, mapenzi hayahitaji hasira wala visasi.
nakuhakikishia siku hasira zako zikiisha utajutia yoooote unayoyafanya sasa, na utajilaumu hata kwa nini ulilianzisha, mark my words.
 
Back
Top Bottom