julius mahinya
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 1,152
- 384
- Thread starter
- #21
Whaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!!!!!11
unashangaa nini?
Whaaaaaaaaaaaaaat!!!!!!!!!!!11
Yeah kuna kaukweli humu!mume hatakiwi kulazimiasha tendo la ndoa sbb mmeoana, lazima kuwe na ridhaa ya wote wawili. kama haupo kwenye mood, inabidi amtafute huyo mood amlete ulingoni. kuna wanaume wengine wanadandia tu wake zao wkt wa hilo tendo bila kujali hisia na utayari wa wanawake, huko nako ni kubaka.
ila definition ya kubakwa inategemea na mtendwa pia, na mazingira/ culture ya sehemu yenyewe. so serikali inaweza kusema kubaka ni kumuingilia mwanamke kinguvu wakati kuna wanawake wanaopenda wanaume wanaowa-force (hawataki kubembelezwa); kuna wanawake wanaamini mwanaume hanyimwi yaani kila anapohitaji lazima apewe hata kama ni mara 7 kwa siku; kuna watu walibakwa wakasikia raha na sio maumivu; kuna wa2 wanawatafuta wabakaji wao mpaka leo ili wawabake tena kutokana na raha walizopata siku hiyo.
Kwa haki za kibinaadamu ukimlazimisha mtu mwengine kuingiliana kimwili na wewe bila idhini yake ni ubakaji aidha iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa!!Ila dini inasema vingine...Inasema uwe tayari kumridhisha mwenzio wakati wowote kwasababu dhumuni la ndoa ni hilo tendo lenyewe na kuzaliana ili tuongeze umati wa allah(S.W)
Heeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!
Umeshinda japo najua naweza sema maneno hapa kila ukiona uzi wangu au comment yeyote unakumbuka ntakacho kwambia! ila bahati yako leo sitaki kuharibu siku yangu!!
kule tumeambiwa faida 4 za ndoa, hapa tunapata hasara moja ya ndoa; ndoa nayo kazi kwelikweliHeeh ! Kumbe kuna kubakana kwenye ndoa?? Lahaulaa!! Haya ngoja wahanga waje loh!!
sasa kesi ya namna hii kama ni mumeo kuna kifungu cha sheria cha kuwabana watu kama hao??.
mmmmmmh jamani ukishindwa kujenga hoja ndo unakuwa mkali? calm down hapa ni sehemu ya mjadala kama wewe ulivyouleta
kiuungwana, tusi nililokutukana ni lip? n kejeli ni ipi?siwezi jenga hoja kwenye matusi na kejeli!
research topic inasemaje? umbea tu, no research no right to speak
kiuungwana, tusi nililokutukana ni lip? n kejeli ni ipi?
Hapo kwenye red umenipaka mafuta? ulitaka nikujibuje hapo sasa! Busara na ungwana wako uko wapi hapo sasa?
sasa kesi ya namna hii kama ni mumeo kuna kifungu cha sheria cha kuwabana watu kama hao??.