Wake za Magufuli na Lowassa


Huyu ndo kura yangu mimi na familia yangu ya watu 12
 

Tutamchagua rais Magufuri muadilifu
 
Nani anakwambia ikulu mwaka huu ataingia jizi na fisadi? Ni ndoto za mchana kufikiri ikulu itakabiziwa kwa jizi kisa eti tamaa ya urais,

Wewe ni jambazi ila hujijui tu
Utalialia sana
 

Huyu ndo kura yangu
 

Mke wa magufuli alitelekezwa kitambo tu na mumewe, akawa na nyumba ndogo, hivyo kakataa kurejea coz mapombe kamtelekeza hivyo hawez kujoin leo kisa urais
 
Kama unakosa mapenzi na mkeo huwezi kuwa na mapenzi na mkeo

Nyie mmemuelewa huyu?
Magufuli akiapishwa tu nnamshauri apandishe bei ya viroba 45,000/=kiroba kimoja
Ukihudumiwa na glass 50,000/=
Barmaid kukumiminia kwenye glass 60,000

Ili tuweze kunusuru taifa
 
Elimu, elimu, elimu
unqjua maana ya uadilifu wewe?
Uadilifu n kupiga push up majukwaan? uadilifu ni kutukana majukwaan? uadilifu ccm? mhhhhh!!!

Kwahio uadilifu ni kujinyea huko geita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…