Ni kumziaki mungu shetani kumfananisha na malaika saga na magufuli kulinganisha na lowasa,kwanini,
Lowasa amefanya mambo mengi ya ki shetani ktk taifa hili,
1,fisadi LA tangu enzi za baba wa taifa bila bigwa LA kuiba,.
2,kuwapa watu sumu wapinzani wake wa kisiasa kama mwakyembe,
3,kuwahujumu wapinzani wake mfano 2010 olesendeka,
4,udini,
5,visasi,he akiwa na Dora,
6,vipandikizi kwenye vyombo vya Dora,
7,uwezo wake wa akili ni dhaifu,
Hivi duniani kuna nchi unaweza kumpa MTU kuwa rais akiwa na uchafu wote hii?
Watu wamelogwa au miujiza ya gwajima na ufreemason ndo unawachanganya watu akili,
Hii kauli angeitoa mwenyekiti wako wa chama ndo ninguelewa!
Hapa ni mabadiriko tu. Ni aibu chama kilichoko madarakani kukosa sera na kuishia kwenye matusi
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.
Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.
Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.
Nyie mna akili za ngombe. Sasa km alifanya yote hayo na mlukuwepo madarakani mlimfanya nn.
Mnaonesha jinsi msivyostahili kupewa hata kitongoji muongoze.
Hiki chama kimeoza na kimebaki na akili mfu. Eri rais wa nchi anatishia kumtaja mmiliki richmond km wananchi wasipomtaja. Hata mbwa hana tabia km hizo
Nani anakwambia ikulu mwaka huu ataingia jizi na fisadi? Ni ndoto za mchana kufikiri ikulu itakabiziwa kwa jizi kisa eti tamaa ya urais,
Tunachagua Rais wa Nchi na si familia kuwa marais!!!
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.
Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.
Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.
nakupa pole yafuataye kwa lowasa kuwa rais ni ndoto,pigeni kelele mnavyoweza,
1,mugogoro na vyombo vya dora
2,mwaka huu mitandao ya majizi haipewi nchi,ilimsaidia kikwete kwenda ikulu tumeona matunda yake na sasa baada ya hiyo mitandao kukosa nafasi imegeuka upande wa pili mitandao hilehile unataka kwenda ikulu,
nawapa pole sana ikishindikana wengi kufanya mahamuzi,wachache wenye akili watafanya mahamuzi,
Huyu ndiye Lowassa - Rais anayesubiriwa kuapishwa.
Lowassa ni kada mkongwe anazijua fika siasa za Tanzania, Afrika na Dunia nzima
Lowasa hatumii wasanii kuvuta watu kwenye mikutano yake
Lowassa hatummi lugha za matusi kwenye kampeni zake
Lowassa hata kama akitukamwa na kukejeliwa yeye ni moto chini na watu ni nyomi kwenye mikutano yake
Lowassa anakubalika kwenye makundi yote, kinamama, vijana na vikongwe
Lowassa bado anakubalika ndani ya chama cha CCM - kuna wanachama watampigia kura
Lowassa na mtaji wa kura za wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF,NCCR na NLD kunogesha ushindi
Lowassa ni mvumilivu wa kisiasa, hakurupuki na hana muda kujadili majungu.
Lowassa ni mgombea pekee mwenye uhakika wa kupata kura toka kwa vyama vikubwa 5 - iliwemo CCM yenyewe.
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.
Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.
Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.
Mwaka 2005 Kikwete alizunguka na mkewe. Mbona hamkusema abaki shuleni atimize majukumu ya kitaifa? Wadanganye watoto wadogo
Kanone.tuambie wizi wa lowassa kwa mapana na marefu.na wema wa magufuli kwa mapana na marefu
Mkuu Mapirobe hii ni thread ya ngapi umeanzisha Leo? Mbona zote ni pumba tupu? Hivi huwa hamuoni aibu kujivua upeo namna hii?
Acha viroba
Tumia mbege
yaaan mambo ya 2005 unatuletea hapa
Afu ushasema huyo n kikwete
ss tunazungumzia magufuli
Umetusikia ss tumemsema mgombea wa chadema wa 2005 urais hapa?
Nitaendelea kulia na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi imeua nguvu kazi ya vijana
They cannot think properly
Kuna sheria inayozuia hilo?
Nalia tena na kampuni inayotengeneza viroba na konyagi
Hapa tanzania
Imeua uwezo wa watu wa kufikiri
Badala ya kutafakari ujumbe uliopo
Lenyewe linahesabu threads
Unafikiriia matope, urais sio wa familia kila mtu anamajukumu yake kwa jamii
Kwa taarifa yako tunafahamu sana kwamba miss understandings kati ya makomeo na wife wake. Hayo maneno katafute wa kuwa eleza.