Mapirobe
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 683
- 117
Magufuli aliwambia wananchi kuwa hatafuti uzee wa kimila wala uchief wa kabila lake hivyo haoni umuhimu wa kuambatana na familia kuomba kuongoza watanzania.
Ikumbukwe kuwa mke wa Magufuli ni mwajiriwa Serikalini hivyo hawezi kuacha kwenda kufundisha watoto wa maskini na kupingana na kauli ya mme wake.Huo ndio mgawanyo wa majukumu.
Acheni Regina azunguke kwa sababu anatafuta urais wa mme wake na sio Rais wa Tanzania.