Wake wengi

kuwa na wanawake wengi huchelewi kuwa na muwasho kunani, kama wewe umewapanga msitari na wenyewe wamekupanga msitari vile vile. before u know ukuni unakuwasha na hujui umuulize nani kati ya hao saba uliowapanga! be carefur people, AIDS do exist!
 
Ndoa ni mume mmoja mke mmoja zaidi ya hapo ni uzinzi tu

Kwahiyo ni baina ya Father James na Father Anthony ama? Maana nao waoana siku hizi mmoja hua 'she' na mwingine 'he'
 
Hakuna shida wake wengi na waume wengi! Raha sana tu mbona!
 

Walahiiiii haya maneno niliyaandika mimi kweli????
 
Last edited by a moderator:
Ooh-la-la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…