nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Unaweza kula chakula cha aina moja siku zote? Si kitakukinaisha!!!
wanaume bana....
Kumridhisha mwanamke mmoja tu kazi lakini mnajifanya vidume kuwa na wanawake wengi loh...... Ndo maana kazi za nje haziishi
Mbona 'wengine' wanaweza kuwa na wanne? Aidha imehalalishwa!
Na kama suala ni kila mwenye uwezo awe na wanawake wengi ...kuwasaidia wasiwe vyangudoa...mbona watoto wa Wafalme wa huko Saudia hawana wake wengi? Watu walishashtuka...mara kumi wanaooa na ku divorce kuliko kuwarundika ndani.
Jamani mbona hamtutende haki sie ambao dini yetu inaturuhusu kuwa na wake zaidi ya wawili wa ndoa? Mbona mwenda mbali na kututusi eti sie washelati? Washelati nyie msioa kazi kuchombeza wake mia nyumbani yupo mmoja. Asaghafullullah walai?
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................
hivi kumbe kunakua na starehe ee!mimi ninachojua ni kujiongezea majukumu.
ndoa ni watu wawili, mwenye uke na mwenye uume...au labda nitumie lugha nyepesi ndoa ni muunganiko wa nafsi mbili tu, kukiwa na ndoa ya namna hiyo basi hakuna uzinzi zaidi ya hapo ni uzinzi ...period!
Hoja yako ina nguvu sana ndugu Mpitagwa. Mikataba wa mke mmoja ni mikataba ya kinafiki sana; ni mara chache sana mikataba hii inakuwa wa ukweli kwa sababu ni mikataba inayotokana na utashi wa akili; nakuapia utashi wa akili una nguvu ndogo sana unapoulinganisha na utashi wa ile sehemu. Ile sehemu haina akili, haitaki akili, wala haitaki mikataba ya mke mmoja. Unakumbuka raisi wa Marekani Bill Clinton alimfanya nini yule dogo wa miaka ishirini na kitu kule ndani ya ofisi ya rais wa marekani? Hiyo ndo akili ya ile sehemu sasa... Mke mmoja? unafiki mkubwa.... Na hivi vitoto vya miaka ishirini na kitu ndo vibaya mno yaani.... Mke mmoja? Ha!!! Unafanya utani nini?!
niambie nilazima kuoa wake wengi? kwa mfano uwezikuwaudumia inakuaje?
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................
Hoja yako ina nguvu sana ndugu Mpitagwa. Mikataba wa mke mmoja ni mikataba ya kinafiki sana; ni mara chache sana mikataba hii inakuwa wa ukweli kwa sababu ni mikataba inayotokana na utashi wa akili; nakuapia utashi wa akili una nguvu ndogo sana unapoulinganisha na utashi wa ile sehemu. Ile sehemu haina akili, haitaki akili, wala haitaki mikataba ya mke mmoja. Unakumbuka raisi wa Marekani Bill Clinton alimfanya nini yule dogo wa miaka ishirini na kitu kule ndani ya ofisi ya rais wa marekani? Hiyo ndo akili ya ile sehemu sasa... Mke mmoja? unafiki mkubwa.... Na hivi vitoto vya miaka ishirini na kitu ndo vibaya mno yaani.... Mke mmoja? Ha!!! Unafanya utani nini?!
Nakuomba isome tena hoja yako hapo kwenye rangi ..... Ina maana wote waliooa mke mmoja ni wanafiki? tena unasema wanafiki sana! unasema utashi wa akili una nguvu ndogo sana. mambo ya Bill Clinton nawengine ni katika muendelezo huo huo wa tamaa zisizokuwa na msingi, nazungumzia wake wengi sio akina Clinton wanaofanya uharibifu kwa kila binti anayepita mbele yako unatamani kwa kisingizio mke mmoja hatoshi
katika hilo ni kuendekeza uzinzi hebu pata picha unawake wanne kila mmoja anataka huduma yako mapumziko lini, hali ya kiuchumi, muongezeko wa familia una mashemeji, wakwe wangapi, wajomba pande zote za kikeni na kiumeni ukweli ni kwamba uke wenza ni maumivu
Na kama suala ni kila
mwenye uwezo awe na wanawake wengi ...kuwasaidia wasiwe
vyangudoa...mbona watoto wa Wafalme wa huko Saudia hawana wake wengi?
Watu walishashtuka...mara kumi wanaooa na ku divorce kuliko kuwarundika
ndani.