hakuna raha wala faida...ni muendelezo wa uasherati na uzinzi tu!
hakuna raha wala faida...ni muendelezo wa uasherati na uzinzi tu!
So kwa maoni yako hakuna tofauti ya uzinzi na ndoa...
Attention given to a man!
Kumbe ukitulia una akili hivi?
ningekueleza kama ungeuliza starehe ya wanaume wengi.....
Unaweza kula chakula cha aina moja siku zote? Si kitakukinaisha!!!
ningekueleza kama ungeuliza starehe ya wanaume wengi.....
Tufanye nimekuuliza basi...whats your response on this???
Tuambiane ukweli wake wengi starehe yake.............. matatizo yake .................