Wake wa Matajiri

mchecheto

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
1,532
Reaction score
1,479
Kwa nini wanawake wengi walioolewa na matajiri huwa hawatulii kwenye ndoa? Pia hupendelea serengeti boys?

Nakaribisha hoja.
 
Weka mfano maana matajiri wa bongo wanajulikana,je wake zao hawajatulia?
 
Swali lake linaeleweka la aliyeleta mada, jibuni au piteni kimya.

hiyo ni kweli kabisa. hakuna haja ya kumbadilishia swai sijui liwe hivi au vile.

wanaume wengi hawawajali, na siwashangai wake wakienda nje. ila duh wengine lazima hawana radha.
 
kwa nn wanawake wengi walio olewa na matajiri huwa hawatulii kwenye ndoa??pia hupendelea serengeti boys??
nakaribisha hoja..

Unajua avatar au username huchangia sana kuathiri personality ya MTU! Kwa mfano mchecheto, ulikuwa na mchecheto mno ulipokuwa unaandika hii post, ungetulia undeandika vizuri mno! Halafu tabia ya watu wawili watatu haiwezi kuwa ndio tabia ya wote kwenye kundi au jamii fulani ya watu
 
Last edited by a moderator:
Matajiri wako bussy na kusaka mahela....
Masikini tupo busy na viungo vya uzazi...
 
yaani huelewi tajiri ni mtu wa namna gn au????
 
kwa nn wanawake wengi walio olewa na matajiri huwa hawatulii kwenye ndoa??pia hupendelea serengeti boys??
nakaribisha hoja..

Mkuu mchecheto mada yako ni fikirishi sana, ila kuna chembe chembe za ukweli ndani yake ingawa wadau wanataka kubadili dhamira kuu ya hoja yako.
 
Last edited by a moderator:
Me sidhani kama kuna sehemu yoyote haijaeleweka. Ni ngumu kufanya jambo kwa wakati ambalo kila mtu atapendezwa nalo ni Mungu tu anayeweza. Angejieleza kwa kirefu wangejitokeza wa kusema umeandika gazeti.

Back to topic, Sababu kubwa ni kuwa wanaume wengi matajiri wako busy na shughuli nyingi za kuimarisha uchumi wao. Hivyo mda wa kukaa kutunza ndoa ni mdogo. Na hii inaweza tokea kwa mwanaume yoyote mpiganaji. Hivyo inahitaji utashi wa mwanamke vinginevyo atachepuka tu.
 
Sema kutembea na mke wa mtu mwenye ankara ndefu ni sawa na kwenda airpot na kete 14 za unga,bangi misokoto kadhaa na kijiko na kiwembe cha kusagia ngada.Ukinyakwa lazima uishe!
 
Jamani tusizingue,hili jambo ni kweli kabisa,watu wengi wenye hela hawawaridhishi wake zao kimapenzi,wanachofanya ni kuchepuka kwa wingi na mademu wa nje,kitu kinachopelekea mke wake nae kuanza kutafuta kijana ili amkune mpaka akunike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…