Wake ni chanzo cha nyumba ndogo

[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi mke wangu ananipa unyumba fresh tu na tunapendana ila hata sielewagi kwa nini nachepuka yaani nikimwagana na mchepuko naangaika kutafuta mwingine kama vile niko single sijui aliyeniroga nani
 
Uliyoyaandika hapa ni kama umenisema mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…