🤣🤣🤣🤣Yan yamekukutaa nini?Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nisifu basi kidogo mimi nimekaa na mdogo wake wife miaka miwili mizima na sijawahi ata kuwaza ujinga juu yakeYaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wanawake na nyie kwanini mkipewa tu pesa, uko chini kunaloa kabisaYaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Wanawake na nyie kwanini mkipewa tu pesa, uko chini kunaloa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa mwanaume ungeleewa. Ni sawa na ninyi wanawake tuwaulize unamlegezeaje mtu kisa anakupatia pesa, anakupa mtaji wa biashara, anakulipia kodi, anakujengea na kusomesha wadogo zako?!Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Hapo umefikiria ila haujatumia elements zote muhimu zinazopeleka situation kama hiyo kutokea.Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe. kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga. Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
Hata kama akilazimisha kuja pale haikupi wewe excuse ya kufanya haya mkuu sema tuu kwamba umepitiwa basi kama umeshikwa na tamaa una sema kwa kweli tamaa imenishika ila sio vibaya wala kosa kwa mkeo kulea ndugu yake wa kike pale nyumbaniHapo umefikiria ila haujatumia elements zote muhimu zinazopeleka situation kama hiyo kutokea.
Nakupa mfano, mkeo anakuwa analazimisha sana wadogo zake kuja kuishi kwake bila sababu za msingi ile hali ninyi mkiwa katika hatua za awali za ujenzi wa familia bora ya kisasa.
Mtu anapigaje mtoto wake wa kuzaa?!Ujinga ujinga tu,siku hizi wanaume mna ujinga mwingi,inafikia hatua mnatembea mpaka na watoto wenu wa kuwazaa,mabinti wa kazi
Ndugu wa mke
Sio kosa kulea ila msikilize basi mumeo akupe muongozo. Hivi kuna mtu asietaka ujiko ukweni kwa kuwapunguzia gharama za malezi ya watoto wao....?!Hata kama akilazimisha kuja pale haikupi wewe excuse ya kufanya haya mkuu sema tuu kwamba umepitiwa basi kama umeshikwa na tamaa una sema kwa kweli tamaa imenishika ila sio vibaya wala kosa kwa mkeo kulea ndugu yake wa kike pale nyumbani
Acheni kututamanisha.Yaani mwanaume mtu akikupikia au kukufulia unasimamisha? Unapata nyege kisa mtu kakupa maji ya kunywa?? Acheni tamaa
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Aaaah ukilala na dogo, kwanza unachezea talaka halafu nakupa kuchapo cha paka mwiziWatu wanalala na baba wakwe sembuse mdogo.Hata mdogo wa mume ni mume pia mkuu.
Ha ha haaa, kikubwa kama yupo vizuri kimwonekano na on bed hata mkaa nichomee tu.Aaaah ukilala na dogo, kwanza unachezea talaka halafu nakupa kuchapo cha paka mwizi