Wake mlioolewa: Kama unaishi na mdogo wako wa kike hapo kwa mumeo kaa ukijua mna-share

Unajua haya maisha ni mchanganyiko wa mambo mengi sana. Mwanaume yeyote anataka kuwa dominant kwenye sex sasa asipo ku dominate wewe atatafuta kabinti kadogo dogo ili aki dominate.

Hili sometime ni kama ugonjwa wa akili ila pia ni kama asili hivi. Sasa kushindwa kuji control ndio kunaleta balaa hilo la kulalal na mdogo wa mke, mtoto wake, mfanyakazi za ndani, secretary wake, mabinti wadogo au hata mashoga. Yaani kifupi atatafuta mtu yoyote atakayekuwa mdhaifu kwake ajione anamtawala kingono.

Ndio maana jamii nayo inasema oa mtu uliyemzidi umri bado ni mule mule tu kwhiyo ili ni tatizo na asili pia.
 
We unadhani mpaka mtu kaamua kutoka nje ya ndoa anakuwa ajajiandaa kuachika.Maana kwa MTU mwenye upendo na mwenzi huwezi kuwaza kuchepuka kabisa kwa mtazamo wangu
Hapa unaandika hivi lakini unakuta ndani mna siku 2 hamuongei,kwanin asitafute sehemu ya kuipoza? Kama shemeji yupo na wanaongea ndio atamsaidia dadake.

Tena usithubutu kumnunia mumeo huku ukijua upo na mdogo wako hapo,atakusaidia mzigo afu badae utajilaumu
 
Sio na tetea dhambi ya kucheat haina kwamba eti aliitegeshea tena mbaya zaidi na mtu wakutoka naye tumbo moja kama ikitokea ume mla mdogo mtu kubali kwamba nimezingua sio unaketa kiswahili kirefu kutaka kuidhiisha uharamu huo. kucheat hakuna sababu mkuu ni kwamba ulitaka na ukafanya at lesta angekua mtu mwingine mtaani yaani mdogo wake mkuu duuh
Ipo siku utakumbuka huu uzi
 
Hakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamua
Hii nayosemea hapa sio ishu ya siku 1 tu...yan umetembelewa na siku hiyo ukafanya,ni safari kidogo. Yani ww jamaa sijui ni mgeni wa mitandao au hata magazeti husomi. Soma kisa hicho cha BBC kwanza huenda ukafunguka akili
 
Sijui kwa nini mnapenda kum potray mwanaume kuwa ni kiumbe 'dhaifu' kisicho na maamuzi when it comes to sex??...yes, sex urge can be controlled, ndio maana hawapandi mbuzi huko barabarani, mchana kweupe....?!...Yaani ushindwe kukaa na ndugu kisa unahofia mumeo atatembea nae? jamani...kama uko kwenye ndoa ya hivi..pole sana...unaweza kufa siku si zako kwa kihoro duuh
 
Ww una kaa na wadogo (ke) zako wangapi?
 
Iko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
Hakuna kama mkeo akitaka kugongwa na mdogo wako hata kama yuko kwa wazaza wako atafanya hivo ila sio kwamba lazima mdogo wako lazima afanye hivo kwa hiyo wewe huna kaka? hujawahi kwenda kwake kama kaka hayupo yuko busy na wewe unaona sawa tuu kumgonga shem kisa kaka hayupo?? au wewe hujawahi kumkaribisha kwako mdogo wako yeyote kwahiyo unataka kusema wamengona mkeo?? suala ni kwamba huo ni usheatni amabao hauhitaji excuse yoyote na mtu amayefanya hivo kaamua
Hii nayosemea hapa sio ishu ya siku 1 tu...yan umetembelewa na siku hiyo ukafanya,ni safari kidogo. Yani ww jamaa sijui ni mgeni wa mitandao au hata magazeti husomi. Soma kisa hicho cha BBC kwanza huenda ukafunguka akili
mkuu si ukubali kwamba ni kosa kwanii utake kuhalalisha uharamu mzee..its wrong
 
Hakuna cha madhara wala nini kosa sio la mke wako kama uko hivo basi ulioa huku huja komaaa kiakili maana hizo ni tabia za kivulana ila sio za mwanaume anayejielewa.Kama imetokea umemfanya mdogo wa mke wako hilo ni kosa lako wewe kama wewe.

Kwa sababu ukisema hivo basi na wake nao wawakatae wadogo zetu sisi wa kiume maana wakiletwa pale watamgonga.

Ushauri ukiamua kuoa jaribu sana kua act kama mwanuamie sio mvulana na ukikosea kubali kwamba umekosea na kusaliti hakuna msababishi ni mtu mwenyewe ana amua regardless ni mwanmke au mwanaume
This is the point umemaliza kabisa mkuu

Usipoelewa hapa mleta mada utakuwa una lako jambo sio bure
 
Mtu anapigaje mtoto wake wa kuzaa?!

Nimefuatilia hizi story nimebaini baadhi ya wanaume siku hizi wakigundua mwanamke aliwabambikia mtoto na akaja kujua ukweli wanaamua kuwaingilia wale watoto kimwili kama kisasi kwa mkewe kwa kuficha siri na akianza kulalamika wanandugu watahoji nini kimemkuta huyu mwanaume hadi kulala na damu yake then hapo ndipo ukweli unawekwa mezani kesi inayobakia ni ya kukula katoto.

Kuna kesi kama hiyo ya mama ana watoto watatu na mumewe kumbe 1st born sio binti yake maza alikuwa na harakati. Mzee alishapeleka watoto huko kwao ila huyu mkubwa tokea mwanzo walishashtukia sio damu yao.

Miaka imeenda binti akiwa kidato cha tano ndipo moto ukawaka. Kumbe mzee alishaanza kumega binti. Binti alianza kuzinguana na mama yake baada ya kukataa kuendelea na kidato cha 5, akitaka afanye biashara. Mama kapinga mzee kakubali akatoa mtaji. Ule ugomvi ndio ukaja kuibua siri, mama alikuwa kaanza kuvimbiana na mzee binti anapigana vita upande m'moja na baba yake.

Mama akataka kumpasha joto mzee kwa kuwa anatoka out na kuchelewa kurejea mzee akawa halali kabisa home anakuja asubuhi na asiporudi na binti harudi.

Siku ugomvi umewaka mama maneno makali yanamtoka anawatusi anasema kama kama huyo binti unamuona ndie mkeo basi muoe,binti akajibu kwan tumeanza leo, mbona muda mrefu nakusaidia majukumu yako. Maza akaanguka kwa mshtuko.

Mzee akampangishia binti nyumba sehemu nyingine maisha yakaendelea kama kawa.

So wanawake u better be careful nowadays wanaume wameanza kuwa tofauti na ile kawaida waliyowaambia mashangazi wenye ghubu.
Mkuu Samcezar umetiririka sana na mfano ulio hai kabisa

Lakini nadhani sisi tukiwa wanadamu ambao tumepewa utashi wa kufikiria na kuchambua mambo kwa umakini,ifike mahali tusitake kuuhalalisha kosa kwa kosa,sidhani kama ni jambo la hekima na linalomfaa mtu yeyote yule anayejitambua kutoka na msichana anayeweza kumzaa kwa jina tu la kumkomoa mke aliyeficha siri ya kuwa binti sio wake,ni sawa na leo na ajitokeze mwanamke mwingine tu na yeye aamue kutoka na kakijana kaliko na umri sawa na kijana wa kumzaa in the name of mume alidanganya kuwa ana mtoto wa nje nikaamua kukomesha au vyovyote vile,tufike mahali tukubali kosa ni kosa,kosa halipunguzwi kwa kosa wala kosa halifuti kosa

Kwenye case kama hizo ulizoandika hapo juu mke kafanya kosa la kuzaa nje na kuweka siri,mume kumtafuna binti aliyezaliwa nje hakufuti kosa la kwamba amefanya uchafu na binti aliyezaliwa na mkewe,ni kosa zito hilo mkuu na wala kosa la mke haliwezi kufuta kosa la huyo mume au kulipuguzia uzito bado mbele ya jamii mume aliyetenda hivyo ataonekana wa ajabu tu,tena aliyekosa busara na utu juu tena mkatili

Kisha yote kwa yote kwa mtu yeyote ambaye ameamua kuingia kwenye ndoa akiwa serious na akajua maana na majukumu yanayohusiana na suala zima la ndoa atajitahidi kwa namna yoyote ile kuhakikisha anaepusha au kuepuka mazingira au hali zinazoweza kumfanya avunje au asaliti kiapo chake cha ndoa

Yote yanawezekana kwa sababu tumepewa uhuru wa kuchagua hakuna mtu aliye na haki ya kumchagulia mwenzie au kumfanyia maamuzi,inabakia utashi wa mtu mmoja mmoja na vile ulivyo imara katika kusimamia unachokiamini na kutokubali kuyumbishwa.
 
Iko hivyo pia kama mume utaleta mdogo wako kwenye ndoa yako na uwe bize na pesa mdogo wako lazima akusaidie kumtibu mkeo. Ndoa ni makubaliano ya wawili tu na makubaliano hayo yanapaswa kuzingatiwa kwa umakini sana. Hakuna haja ya kuanza kukimbizana na ndugu sababu kama ni msaada wape wakiwa kwa wazazi wako.
Fresh tu, tunamgeuza mlupo. Tunapiga kwa zamu, nawaambia na masela kama vipi waje kupiga tu kiroho safi, mke si kaamua kugawa.
 
Back
Top Bottom