KERO Wakazi wa Ubungo - Kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Habari

Samahani naomba utusaidie kufikisha hii taarifa kwa wahusika.

Wakazi wa Ubungo kibo tunapata changamoto kwenye kuvuka barabara na magari yetu, kunakua na gombania. Goli kwamba atakaeweza kuforce kupita ndo huyo huyo.

Kwenye makutano ya barabara mwanzo palikuwa na mataa lakini saivi wameyatoa.

Hakuna traffic wala mtu wa kusaidia kuongoza magari.

Traffic wanakaa kwenye kituo cha mwendokasi wanasubiri apite. Afu wanakusimamisha kwamba umepita bila ruhusa.

Jaman hii ni kero kwetu tunaomba mamlaka itusaidie
 
Mkuu Dar nzima huo ndio utaratibu. Madereva hawana ustaarabu. Hata taa zikiwepo wengi wala hawaheshimu taa. Hivi kweli madereva wanashindwa kujiongoza wanakuwa kama mbuzi lazima wachungee?
 
Mataa ya shekilango ikishafika usiku yanazima sijui shida huwa ni nini.
 
Mkuu Dar nzima huo ndio utaratibu. Madereva hawana ustaarabu. Hata taa zikiwepo wengi wala hawaheshimu taa. Hivi kweli madereva wanashindwa kujiongoza wanakuwa kama mbuzi lazima wachungee?

Kwenye mataa DAR kidogo kuna heshima, Ukiacha boda boda.
 
Back
Top Bottom