Wakazi wa Rufiji waliokumbwa na Mafuriko wahamishiwe Rombo mkoani Kilimanjaro

Kama imewezekana kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro na kuwapeleka Handeni mkoani basi Hata Wandengereko wanaweza kuhamishiwa Rombo Kilimanjaro ambako kuna eneo kubwa liko Wazi

Kuwachanganya Wandengereko na Warombo kutasaidia pia kupunguza Unywaji wa Pombe za kienyeji Wilayani Rombo

Hali ya Rufiji kwa sasa ni mbaya sana

Naomba kuwasilisha

cc: Benjamin Netanyahu - Rau Madukani
Hahaha warombo watakosa wanawake maana watu warufiji watala sana maana warombo kazi ni kunywa pombe!
 
Kama imewezekana kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro na kuwapeleka Handeni mkoani basi Hata Wandengereko wanaweza kuhamishiwa Rombo Kilimanjaro ambako kuna eneo kubwa liko Wazi

Kuwachanganya Wandengereko na Warombo kutasaidia pia kupunguza Unywaji wa Pombe za kienyeji Wilayani Rombo

Hali ya Rufiji kwa sasa ni mbaya sana

Naomba kuwasilisha

cc: Benjamin Netanyahu - Rau Madukani
Kwa nini wasihamishiwe Kizimkazi au Chato?
 
Bahati mbaya Rombo hakuna kitoga.....
Wanataka kupeleka vidume vya mbegu mnakumbuka vilio vya akina mama wa Rombo kuhusu wanaume wa kule kuwa walevi hadi wanawake zao hawawapi haki yao ya unyumba? Kwa hiyo ni mkakati mahsusi wa kupeleka vidume vya mbegu. Rufiji mafuriko hayakuanza leo nakumbuka 1998 yalitokea mafuriko bab kubwa yanaweza yakafanana na ya mwaka huu. Lakini yalipopita maisha yaliendelea. Na kiutaratibu mafuriko yakipita watu huwa wanapanda Sana mahindi na mazao mengine mavuno yanakuwa ya kufa mtu. Baada ya mafuriko serikali iandae mbegu tu
 
Nchi inahitaji migration, maendeleo ni kuhama na kupeleka ujuzi na marifa sehemu nyingine
 
Kama imewezekana kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro na kuwapeleka Handeni mkoani basi Hata Wandengereko wanaweza kuhamishiwa Rombo Kilimanjaro ambako kuna eneo kubwa liko Wazi

Kuwachanganya Wandengereko na Warombo kutasaidia pia kupunguza Unywaji wa Pombe za kienyeji Wilayani Rombo

Hali ya Rufiji kwa sasa ni mbaya sana

Naomba kuwasilisha

cc: Benjamin Netanyahu - Rau Madukani
Maana yake vigodoro vinahamia migombani kwa Mzee Shirima na Tarimoo

Innallilah.....!
 
Back
Top Bottom