nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,623
- 831
Nimekuwa natumia usafiri wa basi kwenye shughuli za kujenga nchi yetu, lakini abiria kwenye mabasi wananuka sana hapa Dar es Salaam angalau wa Posta makumbusho labda kutokana na kazi zao.
Kwa mimi ninayetokea njia ya Mbagala ni hatari labda nature ya kazi za watu wa huku. Sasa nimeamua kuvaa barakoa kuepuka harufu kali, mtu asubuhi tu nguo inanuka.
Kwa msaada watu waache kurudia kuvaa nguo walizovaa jana yake kutokana na joto, wawe na nguo za kubadilishia kama ni mafundi ya kazi ngumu, na mtu mwenye jasho au kikwapa kikali dawa kubwa ni ndimu.