Everybody is entitled to his/her opinion.Wakazi akiwa XXL alisema afande sio mzuri kwenye lyrical technicality.
Kwangu afande sele ni sense lyricist,kwangu namuweka kwenye kundi moja na kina professor jay,solo thang wa kipindi like.Uwa wanaiwakilisha jamii to the fullest,yani ni wasanii ambao unaweza kukaa na wazazi wako mkasikiliza nyimbo zao.
Kuhusu technical lyricists,hawa ndo wasanii wangu bora.
Nikki mbishi
One the incredible
Sterio singasinga
Said
P the Mc
Wakazi is an average rapper for me.Nakubaliana na Adam Mchomvu alivyomwambia kidogo sasa hivi ameimprove.